Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

Yes..kwa rafiki atakuonesha but kwa ndugu never ever

Ila wanaume wengine hawajali ndugu utawajua though hakupendi[emoji23] [emoji23]

Wanaume wamepinda!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Truth. Ukiona demu ana sitaki nataka nyingi mteme. jiepushe nae maana msimamo hawana.
 
Mademu wa chuo huwaga wanahisi wana options nyingi na the world full of good stuff ina wasubiri wakimaliza chuo. Ila waki maliza wengi kitaa kina wanyoosha wana get back to reality. Naongea kwa uzoefu
Fact. Na reality ikiwatandika ndio wanaanza kutoa milio
 
I wanna play smart here.
 
Lakini papuch ulimpa
 
Hamka ndg unachezewa akili sasa mtu unataka kumuoa na yeye yupo tayari hata kwenda kutoa posa ujaenda unategemea nini hapo tambua kibarua chako kimeota nyasi
Pia mwanamke ambeye wewe unamfukuzia miezi mpaka 6 ujapewa papuch bado kuna wenzio wanatongoza leo kesho kutwa wanavuliwa chupi wewe bado tu unasubili Dadeq
 
Mkuu sijasema kama sijamla. Nimesema amenipa vitu vingi.....umenielewa hapo?
 
Mkuu namkulaga several times.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…