sir kiduku
Senior Member
- Oct 12, 2019
- 101
- 262
Unadhani hiyo inaweza kuwa sababu ya yeye kupigwa chini??Sasa hutaki kumwacha wakati ushaachwa
Genius....Mambo ni mengii kwa kweli!
Jitahidi tuu, maana siku hizi bila kuwa na biashara nje ya ajira yako huwezi kufanya la maana.
Sawa Mkuu!Genius....
Nakuhusudu sana
hajawai kunipa
yan wanawake ukimpenda xn anakuwa pasua kichwaMambo ni mengii kwa kweli!
Jitahidi tuu, maana siku hizi bila kuwa na biashara nje ya ajira yako huwezi kufanya la maana.
K.maanishaJinyonge upotee
Dah pole sana sir kiduku kwa kuachwa bila kupiga papuchhajawai kunipa
Zinduka kwenye usingizi unaootahajawai kunipa
Hata katiba mpya ya Mabaharia iliyofanyiwa marekebsho mwaka huu inakatazaDah pole sana sir kiduku kwa kuachwa bila kupiga papuch
sasa mkuu nfanyeje hapoZinduka kwenye usingizi unaoota
Habar wa jf bla kupoteza mda ngoja niende moja kwa1 kwenye maada
Kuna mwanamke nlmpenda sana in short wote 2lipendana sana lakn 2lkuwa mbal mbal miez mitatu(2likuwa kwenye mapenz ya mbal kwa miez3) tangia niwe nae na kuja kukutana naye...
Lakini mambo yakaanza kubadilika tu pindi tulipo kuwa karibu akawa hapendi kuongea sana na mm mambo yalizidi kuwa mabaya had I ikafka hatua anankaushia tu nkimuulza sababu anajitetea ana kaz nyng
Sasa imefka hatua hanitafut hadi nmtafute mimi na mda mwingine nkimtafuta hanijibu hata siku 4 hadi nafkria sijui nimuache au vp
Sema sitaki kumuacha mapema hii wakati bado cjapata papuch......ushaur wenu wadau