Huyu mwanamke anatisha nilijua labda kavaa mask kumbe alifanyiwa surgery afanane na paka kisa mpenzi wake alikuwa anampenda sana paka wake kupitiliza ,akaona atumie pesa nyingi ajibadilishe
Sasa mbona naona katisha zamani alikuwa mzuri ,sasa hivi uwiiii yaan nikikutana nae naweza zimia mie,
Halaf nchi za wenzetu si teknologia si imeendelea hawawezi mrudisha hali yake ya zamani
Hebu muone alivyo
View attachment 486724 alivyokuwa mzuri hapa
View attachment 486726View attachment 486727View attachment 486728 ,huyu boyfriend wake sijui mmewe lol
Nasikia wengi wanafanya upasuaji wa kuongeza nyonyo , makalio kama Nick minaj,Kim kardashian,,we utafanya mazoezi weee ya kuondoa tumbo kumbe wenzako wanagharamia tu wanafanyiwa upasuaji unawaona warembo tu ,niliona picha Minaj alikua flat screen saaa hiv tako tako
Ila huyu Jocelyn kaniuma lo
Halaf cha kushangaza pua zao ni ndefu na ni nzuri tu lakin bado eti wanazichonga sijui nani kawaloga