Huyu mwanamke anamsimamo mkali au?

Huyu mwanamke anamsimamo mkali au?

Binadamu wote tuko sawa, haijalishi ni Mzungu, Mchina, Mhindi au Mfilipino kwenye maswala ya mapenzi na uaminifu hakunaga 'GARANTII' acha kujishusha na kuwashusha waafrika wenzako.

Mwenyezi Mungu pekee ndiyo mwenye uwezo wa kubadilisha watu kinamna apendavyo na sio kwa juhudi zetu wenyewe.

Sisi sote ni binadamu-hakuna tofauti.
Acha kujifariji kwa ujinga wewe, tuko sawa na wazungu kwenye mambo ya kimwili tu kama kula, kukojoa,kutembea n.k ila akili hatuko sawa kabisa tusijidanganye, akili zetu zina matatizo makubwa sana. Huwezi kusema uko sawa na mtu anayegundua na kutengeneza kila kitu unachokitumia,
 
Heri waarabu na Wahindi ni wanafiki kwenye hilo,mzungu hana unafiki linapokuja suala la kula tigo!!
Wazungu ni waelewa kama hupendelei tgo hakulazimishi anakusikiliza wewe, sasa muhindi/muarabu kudadeki anaweza hata kukubaka umkatalie na umeshakula mpunga wake!? nimeshadate wazungu so i spoke from experience. Waarabu/wahindi ni bad news when it comes to tigo!
 
kuwa katoka ktk familia duni isiwe sababu ya kumkubalia huyo mzungu, kama kakataa basi, mwambie mzungu kuwa havutiwi na ngozi nyeupe basi
 
WEWE MWAMBIE MZUNGU KUWA HUYU DADA HAKUPENDI, APAMBANE NA HALI YAKE. MAPENZ SYO PESA.. USIMLAZIMISHE UTAMLETEA MATATZO AMBYO ITAKUWA LAWAMA KWAKO

ACHA UKUADI MKUU, VP AKIOMBWA NYUMA UTAMSAIDIA?

Ha ha ha haaaaaaa, mweee aaawee mkuu umeamua kupasua, kusambaza na kuvunja kabisa? Loo umemchanaje?
 
Binadamu wote tuko sawa, haijalishi ni Mzungu, Mchina, Mhindi au Mfilipino kwenye maswala ya mapenzi na uaminifu hakunaga 'GARANTII' acha kujishusha na kuwashusha waafrika wenzako.

Mwenyezi Mungu pekee ndiyo mwenye uwezo wa kubadilisha watu kinamna apendavyo na sio kwa juhudi zetu wenyewe.

Sisi sote ni binadamu-hakuna tofauti.
Huyooo anaangalia kwenyee muvi mkuu ndio maana anakuwa na hzooo iman kuwa wazungu n waaminifu
 
Mimi ni mzungu mwenye pesa...
Nawasubiri PM ladies
 
1.Wewe sema kuwa umeshachimbwa mkwara kwamba mdada asipokubali kazi huna.

2. Usijitetee una sifa zote za kuitwa kuwadi mpaka sasa. Natamani hata kukuzaba.

3. Kwani huyo dada alikuambia hayo maisha duni aliyotoka anahitaji mfadhili?

4. Kwani wewe huna shida ya starehe ujitupie nyavu ama umtafute ndugu yako uumpe huyo mzungu?

4. Wenzako wanafanya kazi kwa bidii wapandishwe vyeo kwa nini wataka kupitia mlango wa uani.

MWISHO WACHA UJINGA FANYA KILICHOKUPELEKA OFISI ULIPO.
 
huyo dada labda anaogopa tamaduni za wazungu, maana wana michezo michafu hao
 
pia inawezekana huyo dada anakutaka wewe kulingana na mlivyozoeana na ukaribu wenu,
 
Back
Top Bottom