Huyu mwanamke anamsimamo mkali au?

Huyu mwanamke anamsimamo mkali au?

Nipe mimi huyo mzungu aisee anaanzaje kumkataa mtu na mahela yake? Mapenzi kitu gani bwana nitampendaga hukohuko mbele ya safari
 
Mwambie aache ubaguzi wa rangi, kila siku ubaguzi unapingwa yeye asikii?? Huyo anataka maumivu ya milele, kuna wazungu waaminifu sana ila hakuna mwafrica mwaminifu, atajutia when it's too late. Kuna watu wamebadilika maisha yao kuanzia amani ya nafsi hadi kiuchumi ktokana na kuwa na mahusiano na wazungu,
Binadamu wote tuko sawa, haijalishi ni Mzungu, Mchina, Mhindi au Mfilipino kwenye maswala ya mapenzi na uaminifu hakunaga 'GARANTII' acha kujishusha na kuwashusha waafrika wenzako.

Mwenyezi Mungu pekee ndiyo mwenye uwezo wa kubadilisha watu kinamna apendavyo na sio kwa juhudi zetu wenyewe.

Sisi sote ni binadamu-hakuna tofauti.
 
Mkuu acha moyo ufanye kazi yake jamani, mkuu ulitaka kumpoteza na kumuaharibia maisha huyo mdada rafiki yako. Fikra ni chakavu kwamba maisha mazuri ni rafiki yako kuolewa na mzungu. Tena mimi binafsi nimependa msimamo wake huyo binti tena mpe hongera zake mwambie akaze zaidi kwani mzungu kitu gani?

Mkuu msikalili kwamba eti kwa kuwa ni mzungu niolewe naye tu hata kama hayupo moyoni mwako. Maisha maisha mazuri ni kuoa au kuolewa na mtu uliyemchagua na moyo wako kumlidhia na sio kuolewa na mzungu. Mkuu mwache huyo mdada ataolewa na mwanaume wa type yake ameshakwambia ngozi nyeupe kwake hana hisia nazo na anasikia kichefuchefu. ila wangekuwa wanawake furanifurani vile laaaaaah kwa mzungu ni cku hiyohiyo lakini mdada mstaarabu aliyepitiliza amemkataa katakata huyo mzungu wako.
 
Kuna rafiki angu wa kike alikuwaa hapendii wakaka weusiiu...yaniii hata huyo mkaka ampee nini hana hata ilee kumfikiriaa so ni kipendacho rohoo... mzungu huyo anataka kumuoa sasa hapo dada hampendi na hana furaha naee boraa ingekuwa kiselaa... dada asimamiee msimamo wakee kwa ajili ya furaha yake maana Furaha na Amani ya moyoo ni boraa zaidi kuliko fedhaa

Mkuu waambie hao wasiojua kitu cha muhimu ktk maisha yao, wao wanajua pesa ndo kila kitu lakini waamini kuwa upendo, amani na furaha ndo kitu cha thamani ktk mahusiano na sio mzungu jaman mbona hamnielewi?
 
Nipe mimi huyo mzungu aisee anaanzaje kumkataa mtu na mahela yake? Mapenzi kitu gani bwana nitampendaga hukohuko mbele ya safari

Sidhani kama anaweza kuchukua MTU yeyote,nahisi type zake ni Black beauty,mrefu,mwembamba wastani..
 
Sasa wewe nenda kamshaur mzungu kuwa atafute mwengine kwan kumlazimisha mtu kumoenda ni sawa na kuingiza mkoni kwenye shimo usilo jua ndani yake kuna nn
 
Mzungu ana dharau kubwa sana.afadhali dada wa watu kajikatalia.eti nitamsaidia sana!amemwambia anataka msaada?

~Ndio akifika ndani ataanza kumwambia hukuja na kitu.

~loli mma abhasungu bhabhibhi mwee kyope kisuuu aaammh
 
penye miti hapana wapenzi,
kipendacho roho
sizitaki mbichi
bahati haiji Mara mbili , uyo dada aje mjini aone watu wanavyoolewa na babu zao na watoto wao ili waishi classic life
embu tupe namba ya uyo mzungu tujinyooshee maisha
 
WEWE MWAMBIE MZUNGU KUWA HUYU DADA HAKUPENDI, APAMBANE NA HALI YAKE. MAPENZ SYO PESA.. USIMLAZIMISHE UTAMLETEA MATATZO AMBYO ITAKUWA LAWAMA KWAKO

ACHA UKUADI MKUU, VP AKIOMBWA NYUMA UTAMSAIDIA?
 
Back
Top Bottom