Huyu mwanamke ameniroga,,,

Huyu mwanamke ameniroga,,,

Mbali ya kwamba ana kitambi ana maneno machafu/maandishi huyo mwanamke aliye nae ana kazi sanaa.

Si mpaka awe nae huyo mwanamke 😂😂 maana kuvumilia mwanaume asieheshimu wanawake ni kipaji! Ataishia kuwabadilisha km nguo hakuna atakaedumu nae kwa domo lake chafu
 
Si mpaka awe nae huyo mwanamke 😂😂 maana kuvumilia mwanaume asieheshimu wanawake ni kipaji! Ataishia kuwabadilisha km nguo hakuna atakaedumu nae kwa domo lake chafu
Fact
 
Mengine kama hayo maziwa kulala na tumbo kuwa na makunyanzi yanakuja kama matokeo ya kuzaa kwa hiyo mke wako utamkimbia kisa amekuwa hivo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangapi wamezaa WATOTO KIBAO na bado wanajipenda? na hapa hatuzungumzii Mke,,tunazungumzi mwanamke umeokota barabarani unataka KUGEGEDA,,,pia hata kama ni Mke,,, kwann HUJIPENDI? kwani KUZAA ndy mwisho wa KUJIPENDA? kuzaa ndy ukaribishe KITAMBI? kuzaa ndy USHINDE NA DERA WEEK NZIMA? bila kubadilisha? Mwanamke kama hajipendi kwngu ni LAPULAPU tu....UKWELI MCHUNGU. , mambo hayo ndy yanafanya WANAUME watafute VIMADA NJE.,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba ukiwa naye unajiona De Bruyne alafu ugenini Amri kiemba?

Tembea na kufuniko cha bia mfukoni hakuna pepo litakufata

In short umewekewa kibofu cha panzi

Shahidi Mshana Jr
 
Wangapi wamezaa WATOTO KIBAO na bado wanajipenda? na hapa hatuzungumzii Mke,,tunazungumzi mwanamke umeokota barabarani unataka KUGEGEDA,,,pia hata kama ni Mke,,, kwann HUJIPENDI? kwani KUZAA ndy mwisho wa KUJIPENDA? kuzaa ndy ukaribishe KITAMBI? kuzaa ndy USHINDE NA DERA WEEK NZIMA? bila kubadilisha? Mwanamke kama hajipendi kwngu ni LAPULAPU tu....UKWELI MCHUNGU. , mambo hayo ndy yanafanya WANAUME watafute VIMADA NJE.,.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona hueleweki sms yako ya kwanza umekosoa maumbile hii unazungumzia uchafu point yako iko wapi kwani 🤔?
 
Kusimama kwa uume kupo kwenye kichwa chenye ubongo.
 
Hujarogwa mkuu,,,ni TAMU KUNOGA TU,,hata mm Nina matatizo hayo mkuu,,,mwanamke TAKA TAKA Mimi simuwezi,,,nina VIGEZO VYANGU,,mfano mwanamke MAZIWA YAMELALA kama masikio ya TEMBO,,,au tumbo lina makunyanzi kibao kama NGOZI YA MAMBA,,,,kwenye MAPAJA amejaa MAPUNYE na MABAKA MABAKA MEUSI unadhani ITASIMAMA VP?mwanamke lazima awe na MVUTO,,,na RANGI,,NGOZI,,mororo,,ZIWA HATA KAMA KUBWA lakini NI DODO,,AU DAFU,,yaani LIMEJAA,,tumbo KITOVU KIMEINGIA NDNI , ,kwann USIPIGE GOLI NYINGI?mwanamke NGOZI ya MAPAJA ngumu kama Ya KISIGINO?Mimi mkuu pia siwawezi.....dawa YAKE ni kula UNACHOPENDA,,sio kula UNACHOKIONA....na sio kila mwanamke ni kwa ajili yako,,,waachie wale WAZEE WA MALAPULAPU,,,akipata mwanamke YEYOTE twende,,mradi tu ana PAPUCHI yeye hajali,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee we jamaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakutukana kimoyomoyo sema hujui tu
Kuna mmoja jana kaja kwangu usiku.. kiukweli ile kusikia marashi yake tu nikaapa sitamgonga.ila nitamvumilia maana siwezi kumfukuza usiku huo.
Na kweli hadi asubuhi saa tatu anaondoka kwangu niliishia kumwangalia mapaja tu na yeye kushika dudu lakini nilijikaza na sikumla kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijamdharau na nilijitahidi nisioneshe tofauti ila kuna marashi na tabia ambayo nikiiona tu tayari hamu yangu inaisha.. yeye alikuwa ni mzuri na anafaa ila sikutaka na niliweza
Lakini kingine hakuwa na mipaka ya kuongea maisha kizani na mahusiano.. sasa mtu anakwambia mara nimetoka na huyo. Mara boss yule lakini alikuwa malaya mara nimelala na wazungu mara mahindi.. nilihisi kama nauvaa UKIMWI kwa hiari yangu huku nacheka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utaunguzwa mzee. Huyo ni malaya my be ndo maana hukudindisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edward jina la baba mkubwa.. hivyo wewe ni mdogo wangu...
Iko Hivi. Ni kweli kila mtu anahistoria yake ya nyuma lakini tunapokuja kwenye kuchojoana lazima tuashumu kuwa bado mileage inasoma kilometer za chini.. sasa wewe hata sijakulala tayari unanipa story za wanaume zaidi ya kumi na kufirwa umo umo. Sasa unategemea mindset yangu isomeje juu yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangapi wamezaa WATOTO KIBAO na bado wanajipenda? na hapa hatuzungumzii Mke,,tunazungumzi mwanamke umeokota barabarani unataka KUGEGEDA,,,pia hata kama ni Mke,,, kwann HUJIPENDI? kwani KUZAA ndy mwisho wa KUJIPENDA? kuzaa ndy ukaribishe KITAMBI? kuzaa ndy USHINDE NA DERA WEEK NZIMA? bila kubadilisha? Mwanamke kama hajipendi kwngu ni LAPULAPU tu....UKWELI MCHUNGU. , mambo hayo ndy yanafanya WANAUME watafute VIMADA NJE.,.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hapa unazungumzia uchafu wakati kule ulizungumzia maziwa kulala na tumbo kuwa na makunyanzi....halafu mtu kuwa na hayo maumbile haimaanishi hajipendi au ni mchafu Bali ni mambo yanayotokea tu baada ya kuzaa mengine hayatatuliki hata kwa mazoezi...ila usijali mke wako hatakuwa hivo hata akizaa watoto sita bado atakuwa fresh tu kama bint mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona hueleweki sms yako ya kwanza umekosoa maumbile hii unazungumzia uchafu point yako iko wapi kwani ?
Issue tunazungumzia MWANAUME kukosa HAMU YA TENDO na mwanamke,,, hiyo ndy LENGO LA MLETA UZI,,,nikaeleza ktk comment yangu ya kwnz ni MAUMBILE,,,halafu kuna MTU akani quote,,, nikamjibu,,kama nilivyojibu,,lakini ALL IN ALL MAUMBILE ,, na hata UCHAFU pia ni tatizo ,,, na yote yanapelekea KUKOSA HAMU YA MAPENZI...nilieleza kwamba kuna wanawake wamezaa na bado wapo vizuri....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mim niliwah kutongoza dem siku 1 na akakubali tena mtoto wa askofu na siku hiyo hiyo ku test zari kakubali kuliwa aaaaaa..moyo ukagoma kwa maswali mengi sana kwa nn hv kafanya hiv mara ngap, basi bwana kwa bed hapo najuta nilipiga denda tu !! Sasa hapo kwa denda ndio sielewi mana anamtoto kazalishwa home.basi bwana mtoto yuko uchi kabisa lakini nilala kav kav sikupiga na hakuamini ila nilichezea mashine mpaka wazungu wakatoka mana nilikuwa na ukakasi hatal na cha kwanza wazungu huwa wapo barazan kwa baadhi ya wanaume.aaaaaa madem wengine siyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sikuelewi
 
Hujarogwa mkuu,,,ni TAMU KUNOGA TU,,hata mm Nina matatizo hayo mkuu,,,mwanamke TAKA TAKA Mimi simuwezi,,,nina VIGEZO VYANGU,,mfano mwanamke MAZIWA YAMELALA kama masikio ya TEMBO,,,au tumbo lina makunyanzi kibao kama NGOZI YA MAMBA,,,,kwenye MAPAJA amejaa MAPUNYE na MABAKA MABAKA MEUSI unadhani ITASIMAMA VP?mwanamke lazima awe na MVUTO,,,na RANGI,,NGOZI,,mororo,,ZIWA HATA KAMA KUBWA lakini NI DODO,,AU DAFU,,yaani LIMEJAA,,tumbo KITOVU KIMEINGIA NDNI , ,kwann USIPIGE GOLI NYINGI?mwanamke NGOZI ya MAPAJA ngumu kama Ya KISIGINO?Mimi mkuu pia siwawezi.....dawa YAKE ni kula UNACHOPENDA,,sio kula UNACHOKIONA....na sio kila mwanamke ni kwa ajili yako,,,waachie wale WAZEE WA MALAPULAPU,,,akipata mwanamke YEYOTE twende,,mradi tu ana PAPUCHI yeye hajali,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkeo maziwa yakianza kulala utaoa mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom