Huyu mwanamke ameniroga,,,

Huyu mwanamke ameniroga,,,

Huyo ka kubuhu had Mtandao pendwa hafu hana akili.
Edward jina la baba mkubwa.. hivyo wewe ni mdogo wangu...
Iko Hivi. Ni kweli kila mtu anahistoria yake ya nyuma lakini tunapokuja kwenye kuchojoana lazima tuashumu kuwa bado mileage inasoma kilometer za chini.. sasa wewe hata sijakulala tayari unanipa story za wanaume zaidi ya kumi na kufirwa umo umo. Sasa unategemea mindset yangu isomeje juu yako

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hilo sina hakika, ujue issue ya kutulia ni mpaka yeye aamue. Kama siku zote unamfumania yeye bado unasubiri nini!? Mpige chini hamia kwingine. Ukicheza huo ukimwi atauleta kweli
Siwezi kwa kweli
 
Hujarogwa mkuu,,,ni TAMU KUNOGA TU,,hata mm Nina matatizo hayo mkuu,,,mwanamke TAKA TAKA Mimi simuwezi,,,nina VIGEZO VYANGU,,mfano mwanamke MAZIWA YAMELALA kama masikio ya TEMBO,,,au tumbo lina makunyanzi kibao kama NGOZI YA MAMBA,,,,kwenye MAPAJA amejaa MAPUNYE na MABAKA MABAKA MEUSI unadhani ITASIMAMA VP?mwanamke lazima awe na MVUTO,,,na RANGI,,NGOZI,,mororo,,ZIWA HATA KAMA KUBWA lakini NI DODO,,AU DAFU,,yaani LIMEJAA,,tumbo KITOVU KIMEINGIA NDNI , ,kwann USIPIGE GOLI NYINGI?mwanamke NGOZI ya MAPAJA ngumu kama Ya KISIGINO?Mimi mkuu pia siwawezi.....dawa YAKE ni kula UNACHOPENDA,,sio kula UNACHOKIONA....na sio kila mwanamke ni kwa ajili yako,,,waachie wale WAZEE WA MALAPULAPU,,,akipata mwanamke YEYOTE twende,,mradi tu ana PAPUCHI yeye hajali,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mengine kama hayo maziwa kulala na tumbo kuwa na makunyanzi yanakuja kama matokeo ya kuzaa kwa hiyo mke wako utamkimbia kisa amekuwa hivo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom