Minah
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 858
- 2,376
UKWL MCHUNGU MKUU,,,lakini wapo wanawake wenzio wana watoto zaidi ya 4 lakini bado WATAMU zaidi ya USINGIZI WA ALFAJIRI,,,,wanazingatia KANUNI ZOTE ZA UREMBO,,,kama ni kasha basi PENGINE MNATAKA KUGEUZA UKWELI kuwa kashfa,,,lakini hakuna kashfa hapo,,ni UKWELI MTUPU,,,,,na mbona UMEZUNGUMZIA maziwa na makunyanzi peke YAKE?hujagusia MABAKA MABAKA MEUSI MAPAJANI?kwani kuna UHUSIANO WOWOTE NA kuzaa??wenzenu walifanyia kazi tatizo,,,, sio kutokwa MAPOVU...kuna wanawake kibao wamezaa na bado ukiwaona utatamani UMGEGEDE,,,yaani FULL KUTAMANISHA,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ww mtu akicomment kutetea wanawake una assume kwamba hajipendi, hana mwili mzuri, unanijua mm au unanifananisha na mkeo? Naona unaorodhesha sifa za mkeo tu hapo. Usilolijua sawa na usiku wa Giza! Inaonekana mkeo ana mabaka mapajani ndomana unalaumu wanawake, pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app




