Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Hii comment yako imetitega nijielezee ningesema niyajibu mojamoja nami mjanja kama wewe 🤣🤣🤣🤣🤣1.Unakunywa pombe,
2.Rangi yako nyeusi
3.umri wako umevuka 30 bado ndoa haieleweki
4.mapaja yako karibia na kijiji meusi
5.Mrahisi kupanic hata kwa ishu ndogo
6.Muoga wa maisha
7.Una vidonda vya tumbo
8.Unapenda mwanaume awe anakusikiliza wewe tu la sivyo unamuona hakufai.
9.Unapenda kupiga virungu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app


