Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
hahaha...hata mimi nahisi hivyo ni gentaMtoa mada ni yule jamaa mjuaji anayejiita jina la dawa..
hahaha...hata mimi nahisi hivyo ni gentaMtoa mada ni yule jamaa mjuaji anayejiita jina la dawa..
bila kukosea atakuwa mvulana huyuNingependa kujua kuwa wewe ni mwanaume au mvulana....
huyu si mwanamme wal mvulana ,haya maswali yanajaza server tu itafikia siku mtu anaoa alafu anauliza achomeke wapiNingependa kujua kuwa wewe ni mwanaume au mvulana....
Kumbe una gari eeenh....cha kushangaza hapa JF kila mtu ana gari na kila mtu ana elimu ya chuo kikuu.dah,aiseee.
Aiseeeee mkuu umeniua hapa tehe tehe tehehuyu si mwanamme wal mvulana ,haya maswali yanajaza server tu itafikia siku mtu anaoa alafu anauliza achomeke wapi
Kudadeki mtoto wa kike mdogooo anakupelekesha mtu mzima hadi unakuja kuomba ushauri na akikukamata sasa si ndo utajimurder.... Huyo denti akomae hivo hivo make kishakuelekeza qibla soon atakuchinja
Fuata nyuki ule asali
Acha Ufala and wacha kutuona sisi ni mazumbukuku!!!!Nilimpa lifti ya usafiri asubuhi moja hivi kwa lengo la kumuwahisha skuli sasa imekuwa " nongwa " kwangu kwani siku aliyopanda gari langu, alikuta business card yangu kwenye kiti akaichukua kwa siri na kuitunza kwa begi yake. Sasa baada ya muda wa siku kadhaa ameanza kunisumbua kuwa anataka kuonana na mimi kwani ana zawadi yangu anataka kunipa.
Mwnzoni nilimpotezea lakini sasa amekuwa hasikii wala haambiliki kwani muda wote ananisumbua hewani mpaka najiuliza hiyo form six anayosoma anapata wapi muda wa kuwa na simu muda wote?
Wadau hasa wataalam wa saikolojia nipeni ushauri wenu nimfanyaje huyu mtoto ili alizike na asinitafute tena maana sitaki kumuharibia future yake japo denti nae sio haba najua hapo tambaza anakimbiza sana hata hao maticha wake.
Nipeni ushauri wakuu.