ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,368
- 2,890
Nilimpa lifti ya usafiri asubuhi moja hivi kwa lengo la kumuwahisha skuli sasa imekuwa " nongwa " kwangu kwani siku aliyopanda gari langu, alikuta business card yangu kwenye kiti akaichukua kwa siri na kuitunza kwa begi yake. Sasa baada ya muda wa siku kadhaa ameanza kunisumbua kuwa anataka kuonana na mimi kwani ana zawadi yangu anataka kunipa.
Mwnzoni nilimpotezea lakini sasa amekuwa hasikii wala haambiliki kwani muda wote ananisumbua hewani mpaka najiuliza hiyo form six anayosoma anapata wapi muda wa kuwa na simu muda wote?
Wadau hasa wataalam wa saikolojia nipeni ushauri wenu nimfanyaje huyu mtoto ili alizike na asinitafute tena maana sitaki kumuharibia future yake japo denti nae sio haba najua hapo tambaza anakimbiza sana hata hao maticha wake.
Nipeni ushauri wakuu.