Huyu mwanafunzi nimfanyeje?

Huyu mwanafunzi nimfanyeje?

Nilimpa Lifti Ya Usafiri Asubuhi Moja Hivi Kwa Lengo La Kumuwahisha Skuli Sasa imekuwa " NONGWA " Kwangu Kwani Siku Aliyopanda Gari Langu , Alikuta Business Card Yangu Kwenye Kiti Akaichukua Kwa Siri Na Kuitunza Kwa Begi Yake. Sasa Baada Ya Muda Wa Siku Kadhaa Ameanza Kunisumbua Kuwa Anataka Kuonana na Mimi Kwani Ana Zawadi Yangu Anataka Kunipa.

Mwnzoni Nilimpotezea Lakini Sasa Amekuwa Hasikii Wala Haambiliki Kwani Muda Wote Ananisumbua Hewani Mpaka Najiuliza Hiyo Form Six Anayosoma Anapata Wapi Muda Wa Kuwa Na Simu Muda Wote?
Wadau Hasa Wataalam Wa Saikolojia Nipeni Ushauri Wenu Nimfanyaje HUYU MTOTO ili Alizike Na Asinitafute Tena Maana sitaki Kumuharibia Future Yake Japo Denti Nae Sio Haba Najua Hapo Tambaza Anakimbiza sana Hata Hao Maticha Wake. Nipeni Ushauri Wakuu...
Nipe namba yake
 
Unamuona mtoto eenh???? Nenda ukute Kama hana play Kama gear-lever ya Isuzu journey.
 
Kumbe una gari eeenh....cha kushangaza hapa JF kila mtu ana gari na kila mtu ana elimu ya chuo kikuu.dah,aiseee.
Kwani Kumiliki Gari Ni Kitu Cha Ajabu Mkuu? Gari Sio Pepo
 
Kudadeki mtoto wa kike mdogooo anakupelekesha mtu mzima hadi unakuja kuomba ushauri na akikukamata sasa si ndo utajimurder.... Huyo denti akomae hivo hivo make kishakuelekeza qibla soon atakuchinja
Duuuh...Afu Sipati Picha Wewe Ndio Uwe Hakimu Kesi Ya Kukutwa Na Denti kama huyo
 
Nilimpa Lifti Ya Usafiri Asubuhi Moja Hivi Kwa Lengo La Kumuwahisha Skuli Sasa imekuwa " NONGWA " Kwangu Kwani Siku Aliyopanda Gari Langu , Alikuta Business Card Yangu Kwenye Kiti Akaichukua Kwa Siri Na Kuitunza Kwa Begi Yake. Sasa Baada Ya Muda Wa Siku Kadhaa Ameanza Kunisumbua Kuwa Anataka Kuonana na Mimi Kwani Ana Zawadi Yangu Anataka Kunipa.

Mwnzoni Nilimpotezea Lakini Sasa Amekuwa Hasikii Wala Haambiliki Kwani Muda Wote Ananisumbua Hewani Mpaka Najiuliza Hiyo Form Six Anayosoma Anapata Wapi Muda Wa Kuwa Na Simu Muda Wote?
Wadau Hasa Wataalam Wa Saikolojia Nipeni Ushauri Wenu Nimfanyaje HUYU MTOTO ili Alizike Na Asinitafute Tena Maana sitaki Kumuharibia Future Yake Japo Denti Nae Sio Haba Najua Hapo Tambaza Anakimbiza sana Hata Hao Maticha Wake. Nipeni Ushauri Wakuu...
umeshajuwa tutakushauri nini halafu unajidai unaomba ushauri, kweli kweli kweli hujuwi la kufanya? Basi nawe ni denti
 
Mkulu mstaafu aliwahi kusema wanafunzi wanapata mimba kwa sababu ya viherehere vyao,nae huyo dent apunguze kiherehere.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom