Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,835
Butua tu mkuu
Kasoro Mimi tu Mkuu,suna gari na pia ni form sixKumbe una gari eeenh....cha kushangaza hapa JF kila mtu ana gari na kila mtu ana elimu ya chuo kikuu.dah,aiseee.
cha ajabu mtu kaomba ushauri wengi wanamchallangeUna mdogo wako wa kike? Njia yenye upotofu mara almost zote hupata washabiki wengi. Hao wanaokushauri umtafune binti asiyejitambua wanakupeleka jehanamu. Sikutaka kutoa ushauri nikawaza nikaona nisipotoa maana yake ushauri utakaopata ni wa kusupport uzinzi na mimi nitaulizwa siku ya mwisho. So imebidi nisign up nikuonye. Ukisikia utaokoka, usiposikia mimi sitahukumiwa maana nimetimiza wajibu wangu. Utaangamia wewe na wote wanaokushauri uovu. Uwe na siku njema.
goodJiridhishe kwanza kuhusu mambo mawili haya kisha uamue
1.Makosa yanayokuwinda na adhabu zake.
2.Maadili ya dini yako.
Huu ndio ushauri unaotakuwa,huyo mtoto atakuwa ana matatizo kwao pengine kwa kuwa ameona una gari ndio maana anakusumbua.Kaa nae umsisitize ajijenge na ajiwekee msingi katika elimu yake badala ya kupokea ushauri wa kuharibuUnaogopa zawadi ya papuchi?Kweli Mungu anampa upele asiye na kucha ili asiweze jikuna!Huyu alistahili sasa kawa karudishwa kati hata mara 7
Nilimpa lifti ya usafiri asubuhi moja hivi kwa lengo la kumuwahisha skuli sasa imekuwa " nongwa " kwangu kwani siku aliyopanda gari langu, alikuta business card yangu kwenye kiti akaichukua kwa siri na kuitunza kwa begi yake. Sasa baada ya muda wa siku kadhaa ameanza kunisumbua kuwa anataka kuonana na mimi kwani ana zawadi yangu anataka kunipa.
Mwnzoni nilimpotezea lakini sasa amekuwa hasikii wala haambiliki kwani muda wote ananisumbua hewani mpaka najiuliza hiyo form six anayosoma anapata wapi muda wa kuwa na simu muda wote?
Wadau hasa wataalam wa saikolojia nipeni ushauri wenu nimfanyaje huyu mtoto ili alizike na asinitafute tena maana sitaki kumuharibia future yake japo denti nae sio haba najua hapo tambaza anakimbiza sana hata hao maticha wake.
Nipeni ushauri wakuu.

Si umkule tuu mkuuu,kula hata na utumboooNilimpa lifti ya usafiri asubuhi moja hivi kwa lengo la kumuwahisha skuli sasa imekuwa " nongwa " kwangu kwani siku aliyopanda gari langu, alikuta business card yangu kwenye kiti akaichukua kwa siri na kuitunza kwa begi yake. Sasa baada ya muda wa siku kadhaa ameanza kunisumbua kuwa anataka kuonana na mimi kwani ana zawadi yangu anataka kunipa.