Ophonso
Member
- Feb 2, 2021
- 33
- 122
acheni masikharaNasikia kazikwa juzi huko kwao kanda ya kusini kusini!
Dah,pole kwa familia yake.Nasikia kazikwa juzi huko kwao kanda ya kusini kusini!
Kweli wakuu?Nasikia kazikwa juzi huko kwao kanda ya kusini kusini!
Aisee, mkuu hizi habari kuhusu kutangulia je Ni kweli...?Class mate wangu sabasaba sec
Unabisha kana kwamba unajua inabisha nini, kumbe hamna kitu.acheni masikhara