Huyu mwamba ajengewe sanamu...!!!

Huyu mwamba ajengewe sanamu...!!!

Polisi wa Zambia wazembe....!!!!!

Yaani mtu hadi anaweka status WhatsApp bado hawajamkamata huko alipo....!!

Au wanasubiri atoe connection ndo wamkamate...???!

Ugwadu mbaya sana..[emoji16].
[emoji23][emoji23][emoji23] dada kasinde eti wanataka connection

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Haahahahahahahahahah
Kyee kyeee kyeeee kyee
Hiii Hiiiiii hiiii hiiii hiiii hii
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Woyiiiiiiiiii woyiiiiiii woyiii

Kupatwa Kwa Shing shang dynasty!
Muchina Lee shang chi kachapiwa mke na baharia wa kuzambia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabemba hatari mkuu

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
𝐃𝐮𝐮𝐮𝐮, 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐦𝐚𝐟𝐢𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚, 𝐮𝐧𝐲𝐚𝐦𝐚 𝐟𝐮𝐫𝐚𝐧𝐢 ,𝐡𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐚𝐦𝐞𝐭𝐮𝐰𝐚𝐤𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐬𝐢𝐬𝐢 𝐭𝐮𝐥𝐢𝐨𝐝𝐡𝐮𝐫𝐮𝐦𝐢𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐛𝐨𝐬𝐬 𝐳𝐞𝐭𝐮
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Kamteka mke wa boss...

Amrudishe akiwa na mimba...
 
Kwa pozi na jinsi walivyolala kwa utulivu hapo kwa bed kuna kila dalili kuwa huyo mwamba alikua anamtafuna mke wa boss wake toka kitambo kabla hata ya sakata la kunyimwa mshahara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom