Huyu mwamba ajengewe sanamu...!!!

Huyu mwamba ajengewe sanamu...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
[emoji23][emoji23][emoji23]
20220212_235459.jpg


Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Polisi wa Zambia wazembe....!!!!!

Yaani mtu hadi anaweka status WhatsApp bado hawajamkamata huko alipo....!!

Au wanasubiri atoe connection ndo wamkamate...???!

Ugwadu mbaya sana..😁.
 
Polisi wa Zambia wazembe....!!!!!

Yaani mtu hadi anaweka status WhatsApp bado hawajamkamata huko alipo....!!

Au wanasubiri atoe connection ndo wamkamate...???!

Ugwadu mbaya sana..😁.
Wamkamate kwa kosa gani? Kwani huyo Mke wa Boss si alihiari mwenyewe?

Wanatakiwa wamkamate Mchina kwa kutolipa mshahara.
 
Haahahahahahahahahah
Kyee kyeee kyeeee kyee
Hiii Hiiiiii hiiii hiiii hiiii hii
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Woyiiiiiiiiii woyiiiiiii woyiii

Kupatwa Kwa Shing shang dynasty!
Muchina Lee shang chi kachapiwa mke na baharia wa kuzambia!
😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥
 
Kanyimwa mshahara yeye kajilipa papuchi. Nani amepata maumivu?. Hii ndio ile watoto wa kitaa tunaita mbwa kala mbwa!!
 
𝐃𝐮𝐮𝐮𝐮, 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐦𝐚𝐟𝐢𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚, 𝐮𝐧𝐲𝐚𝐦𝐚 𝐟𝐮𝐫𝐚𝐧𝐢 ,𝐡𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐚𝐦𝐞𝐭𝐮𝐰𝐚𝐤𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐬𝐢𝐬𝐢 𝐭𝐮𝐥𝐢𝐨𝐝𝐡𝐮𝐫𝐮𝐦𝐢𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐛𝐨𝐬𝐬 𝐳𝐞𝐭𝐮
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom