Huyu mtu Simuelewagi bandugu

Huyu mtu Simuelewagi bandugu

Sasa mlitaka kwenye headlines za magazeti akae nani?


young kilimanjaro
 
Saivi kujenga ni kama kucheza bahat nasibu unajenga ukijua siku yoyote unavunjiwa

What goes around always comes around
 
Jana anasema mjenge kwa kufuata taratibu na sheria vinginevyo nyumba zenu zitabomolewa tena bila fidia. kesho mkiona vibali vinachelewa anzeni kujenga {unajengaje kabla ya kibali cha kujenga) si utabomolewa.
leo makusanyo yameongezeka sana huku fedha inayopelekwa kwenye halmashauri imepungua kwa zaidi ya nusu kiasi kwamba halmashaauri nyingi zinapumulia mashine. Makusanyo haya yanapelekwa wapi? (barabara, shule hospitali vyote viko halmashauri)
Huyu ndugu kweli sijawahi kumuelewa
nyinyi 5likes mtajiuliza sana ebu mshauri manywele aache kuwadanganya wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amekuwa papa mukulu,, anagawa pesa akiwa open roof in the car!! Uchumi ulikuwa unapanda/kukua kwa 7. 1% umeshuka to 5.8% bila shaka sasa wataelewa uchambuzi wa CDM kuhusu hali ya uchumi maana walipinga mpaka takwimu za mamlaka zao wenyewe..."waendelee kuchambua uchumi, sisi tunadunda"! Wakati viashiria vyote(indicators) vya uchumi vinaonyesha negative growth,,, isipokuwa import ya chakula!! Just imagine bajeti kuu haifuatwi wala kuheshimiwa, halmashauri zina hali ngumu haijawayi kutokea tangu uhuru hazuna uwezo wa kufinance miradi yao wenyewe.....Maendeleo imekuwa kama zawadi itolewayo na rais kwa namna ambayommempokea ktk ziara yake!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo wewe. Halmashauri ipi imeshindwa ku finance miradi? Labda useme halmashauri zinashindwa ku finance matumbo ya watu
 
Inategemea iyo kauli nimeiongea nikiwa mahala gani
 
Back
Top Bottom