Tuko kwenye hafla ya kifamilia ya kuukaridha mwaka mpya. Baada ya kula sasa ni vinywaji tu vinaendelea.
Baada ya nyimbo mbili tatu kupigwa ndipo huyu mtoto akaibuka anasema kwa sauti kubwa. Mjomba weka mziki wa mbololo....akimaanisha ngololo. Halafu akaendelea kurudia mara kadhaa kuonyedha msisitizo. Mjombaa weka mbololo basi ahh. Watu wamecheka duu