Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,405
- 1,845
very creative.Tanzania ya viwanda
Dogo anatekeleza ilani ya chama kileTanzania ya viwanda
Huku kwetu anatakiwa apewe onyo maana kuna siku atatengeneza bomu.Ingekuwa nchi za wenzetu angeshapewa tour kwenye major car manufacture industries kuona magari yanavyotengenezwa na kuuliza maengineer na technicians maswali.