Ulitaka udanganywe ujione mjanja! Sometyms tunachekeana ili tujuane rangi halisi ya ngozi zetu, mwenzio alikuwa ana
tabasam on u, we ukahisi kakuzimikia lakn pole.... uckate tamaa wanawake huwa tunazngua pia.
shukrani mkuuthink about this......
kuna possibility ya yeye kuachana na huyo jamaa later?yes
kuna possibility ya wewe kumpata baadae? yes....
kuna possibility ya wewe kuwa mchepuko huku huyo jamaa anamiliki? probably yes
why ukose raha sasa?
life has full of possibilities ukitazama vizuri....
kuna possibility ya wewe kumpata mwingine na kumsahau huyo?yes...
its not the end of the world.......
mkuu najaribu kuconcetrate kwenye masomo lakini nashindwa yani nashindwa kujicontrol kabisaUnajua kwenye maisha unatakiwa uwe na major(main) plans na minor plans...shule na mapenzi(kukamua) vyote tunavihitaji...ila in reality shule ndo main na mapenzi ni mainor...so vijana hasa mlioko vyuo au skonga..mnatakiwa mnashughulika na main goals..vingine unaviacha vikikataa vikikubali its okay..yaani inakuwa vp unawekeza kwenye mapenzi unasahau shule( mpaka unataka kufeli mtihani) tena kijana wa kiume..!!?
mkuu najaribu kuconcetrate kwenye masomo lakini nashindwa yani nashindwa kujicontrol kabisa
Kuna nyumba mpya ya kupanga nimehamia kama miezi miwili iliopita katika io nyumba kuna msichana next door anaishi na dada yake tunasoma wote chuo kimoja. Mwanzoni nilimpenda na yeye akaonyesha kama ananipenda ila sijawahi kumwambia sasa juzi kati ikabidi nimchane kwamba nampenda. Alichoniambia ni kwamba anampenda jamaa mwingine wa jirani hapa afu sipo hata kwenye hisia zake dah ilo jibu lili nimaliza nguvu coz mtoto nishamzimukia mbaya saivi hata kula siwezi afu nahisi hata mtihani wa chuo naweza kufeli guys naombeni ushauri jinsi gani naweza msahau..??
think about this......
kuna possibility ya yeye kuachana na huyo jamaa later?yes
kuna possibility ya wewe kumpata baadae? yes....
kuna possibility ya wewe kuwa mchepuko huku huyo jamaa anamiliki? probably yes
why ukose raha sasa?
life has full of possibilities ukitazama vizuri....
kuna possibility ya wewe kumpata mwingine na kumsahau huyo?yes...
its not the end of the world.......