Huyu mtangazaji wa EATV, hapana kwa kweli!

Huyu mtangazaji wa EATV, hapana kwa kweli!

Status
Not open for further replies.
Unapenda utanashati wa mwanaume mwenzio mbona yupo kawaida tu hana tatizo. Tuna mashoga wengi sana maana hizi tabia za kishoga
 
Lazima achukue attention yetu kwa kuvaa rafu kisha ndo utaelewa anachotangaza
 
Mkuu jamaa ndivyo alivyo unataka aanze kujipaka poda na kujichubua kama Sam Maela?
 
Leo nilikuwa naperuzi hizi local channel na ghafla macho yangu yakatua kwenye EATV, nikakutana na mjadala ambao ulikuwa ukiongozwa na dogo mmoja, simfahamu jina lakini nadhani yupo mda mrefu sana hapo EATV maana kuna wakati flani hivi nilikuwa naangalia hiki kituo na kumuona huyu dogo akisoma habari!
Kilichonifanya niandike uzi huu, ni muonekano wa huyu mtangazaji, kwa kweli ukimtazama mara moja unatamani kubadili chanel fasta hata kama kinachojadiliwa ni kizuri!
Japo mimi siyo mtaalam sana wa masuala ya utanashati lakini nlivyomuona anahitaji msaada juu ya utanashati maana unapokuwa mtangazaji tena unaongoza kipindi cha zaidi ya nusu saa, inabidi muonekano wako uvutie kuanzia nywele(kichwani), uso pamoja na mavazi!
Sasa huyu dogo, mh nywele zipo rough, hajachana (au angezinyoa kama na kuziweka kwenye muonekano mzuri, hazichaniki vizuri), shati na tai naona kama haviendani kabisa na hata suruali!
4271a7f7c2cd2bb42789a4f07edb959b.jpg

3ca55aabde83f6dfa77cd9e394d50c59.jpg

99773ed813e09989d05d6c8e386c9d81.jpg

My take; Asije akanyoa kiduku...
Ajitahidi kuwa mtanashati!
Tv yako inatoa picha vibaya aise
 
Mkuu kuna watu wengine nywele zao akichana baada ya saa 1 tu zinakaa vibaya, huyo labda nywele zake haziko vizuri sana
Nami nimetoa ushauri kama ni za aina hiyo ni vyema basi akawa anazinyoa!
Wadau wengine huko wanashambulia tu na kutoa maneno ya kebehi bila kufikiria kuwa kuna kitu kinaitwa dress code, ukiviolet hii kitu unaweza kukosa kazi hivi hivi, ndio maana hata kwenye interview yoyote unashauriwa kuonekana smart kuanzia juu hadi chini!
 
Analipwa shilingi ngapi,tuanzie hapo.
Wakati huu wa ugumu wa ajira,
kama anajitolea,na muda wote
anapambana na kupata nauli
na pesa ya kula wakati anasubiri ajira tutajuaje?
Nashawishika kusema,jambo hili tumuachie yeye na mwajiri wake.
au msemo rahisi ni huu "ya ngoswe mwachie ngoswe"
Kuna salon za kiume, kunyoa ni buku!
 
Watu wengine bhanaa, akiwa mtanashati mtaanza kusema mchicha Wa mwiba! Na umuache km alivyo na umkome kaka wa watu! Tena ikiwezekana futa tu Uzi wako!
 
EATV ni Chanel ya vijana, So hata akiwa na Kiduku au bwenzi ni kawaida tu
 
Leo nilikuwa naperuzi hizi local channel na ghafla macho yangu yakatua kwenye EATV, nikakutana na mjadala ambao ulikuwa ukiongozwa na dogo mmoja, simfahamu jina lakini nadhani yupo mda mrefu sana hapo EATV maana kuna wakati flani hivi nilikuwa naangalia hiki kituo na kumuona huyu dogo akisoma habari!
Kilichonifanya niandike uzi huu, ni muonekano wa huyu mtangazaji, kwa kweli ukimtazama mara moja unatamani kubadili chanel fasta hata kama kinachojadiliwa ni kizuri!
Japo mimi siyo mtaalam sana wa masuala ya utanashati lakini nlivyomuona anahitaji msaada juu ya utanashati maana unapokuwa mtangazaji tena unaongoza kipindi cha zaidi ya nusu saa, inabidi muonekano wako uvutie kuanzia nywele(kichwani), uso pamoja na mavazi!
Sasa huyu dogo, mh nywele zipo rough, hajachana (au angezinyoa kama na kuziweka kwenye muonekano mzuri, hazichaniki vizuri), shati na tai naona kama haviendani kabisa na hata suruali!
4271a7f7c2cd2bb42789a4f07edb959b.jpg

3ca55aabde83f6dfa77cd9e394d50c59.jpg

99773ed813e09989d05d6c8e386c9d81.jpg

My take; Asije akanyoa kiduku...
Ajitahidi kuwa mtanashati!
Ww kama ni Ke ni sawa ulichokiandika ila kama ni Me hiyo ni dalili ya hatari.
 
kwani ana shida gani? Mbona yuko poa tu
Fanya yakoo
Hayakuhusu kwani amekwambia anatafuta mchumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi nilizani lbd unalalamikia iyo pua ya mtangazaji inamalza oxgeni ya wageni kumb unaongelea shirt na tie
Mleta mada unaonekana ina homoni za kike
We vipi? Mtu kaamua kuweka kujitofautisha wewe unamjadili! Nilidhani anavaa kishoga!!
Acha ush@gar mtoa mada

Iyo dalili mbaya sana kuanza kumletea hisia mwanaume mwenzako.

Kwahiyo hapo kwenye kipindi ningekuwepo mm na suti zangu na moka ingekuaje?
Shida yako ni upashwe abari au nguo na nywele
Umbea ni kituuuu usishangae we boxa ina muda mrefu hujafua
Mwanaume kumuangalia mwanaume mwenzako na kujadili uvaaji wake ni ushoga
Umbea ni kituuuu usishangae we boxa ina muda mrefu hujafua

Kwa haya majibu Freyzem sijui kama atarudi tena.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom