Huyu msichana vipi?

Hahahahaha ndo ukome siku nyengine usirudie ila poleee
 

Hayatuhusu. Haya ni mambo yako binafsi. usitujazie server yetu na mada za kipuuzi. peleka kijiweni hii stori
 
Hhahahah huu ujana wenu taaabu kwelikweli! mi nadhani alikuona kero kwake so alikuita ili sura yako ionekane mbele ya wale wenzie ambao nadhani mmoja wao atakuwa ndiye mmiliki (akuchoreshe manake)
 
duh kakuchomesha mahindi weeee, na we ukakaa tu umsubir et aje. hahaha kwel madem ni wakatili
 
dakika 30 story gani hizo? ha ha ha ha hah a kwani ulikuwa unamwona nduguyo huyo
 
dakika 30 story gani hizo? ha ha ha ha hah a kwani ulikuwa unamwona nduguyo huyo

kwahiyo miss chagga nikija kwako dakika 5 naanza kushika makalio nikikupa hamasa dushe hilo nianze hemea sometimes mnaheshimiwa hamjui tu
 
mkuu hapo umepata somo! najua siku nyingine akifanya kosa akakupa dk 30 zitakuwa nyingi sana! UNATAKIWA UCHEZE KAMA TIMU YA ujerumani bhana,dakika 16 za kwanza mtu kala goli 05,siyo ww unapewa dakika 30 halafu hata mechi haianzi!
 
Ss kumuibia ndy kungepooza machungu?? Hahaaa walah tena dunian kuna vsa
 
kwahiyo miss chagga nikija kwako dakika 5 naanza kushika makalio nikikupa hamasa dushe hilo nianze hemea sometimes mnaheshimiwa hamjui tu

Kupoteza muda ni kuheshimiwa?Kama lengo ni story sawa ila kama ni kazi aisee fanya kilichokuleta na si kupoteza muda.....
 
Sometimes wanawake pasua kichwa kishenz ...pole mwana kakuchomesha mahind 6hrs lkn hapo umejifunza kitu kwamba huyo binti hakupendi (hana hisia za mapenz juu yako) sasa ukiendelea kumfwatafwata akochongeshea kwa njemba ule kichaapo ...yote yanin hayo we mpotezee jipange upya kumtafuta mwingne
 
Mwanamke asiponata kumbe nani anate??? Dk 30 unashangaa tu halafu unasema ananata, we lazima uwe gebwe tu

Saa nyingine mnamuonea jamani. Nyie nyie ndo mnakataa mtu kumkurupusha mwanamke halafu njiani hafiki mnakoenda. Lazima udetect kwanza kama yuko kwenye mood kwa kupiga story mbili tatu, na mwanamke alikuwa tayari anamihangaiko hivyo kumpeleka kwenye mood lazima atulie kwanza. na huwezi kumlazimisha atulie wakati ni kwake.

Vijana oeni au anzisheni relationships zenye future, mihangaiko itawapeleka pabaya....Ona mwenzenu anavyozidi kujijazia stress, na bado mwanachuo hajaja kwenye job market!
Wenzie wanawaza wanachomoaje sup ye anawaza huyu msichana vipi
 
Ungechukua hata birika la kuchemshia maji aiseee daahh
 
......hayo maelezo yako yamenifanya nicheke, hadi watu wanashangaaa kilichonifurahisha.
 
Hahaa pole sana kijana wangu ila piga moyo konde...sio mwisho wa dunia cha muhimu jifanye mjinga tu ataingia line mwenyewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…