Huyu msichana nataka tu hela zake yeye simpendi

Huyu msichana nataka tu hela zake yeye simpendi

Hahahaa!! Hyo ni dhambi mkuu. Kama mtu hupendi acha kumpotezea mda wake. Acha kula hela zake. Apologise lady njoo umuone huyu jamaa hampend mwanamke ila anaipenda pesa yake


Kaka mimi nakwambia kila siku ila unaona nawatukana wanaume,
Wanaume wa hivi bora kubeba gunia la misumari, nyie viumbe sijui mkoje siku hizi,
Huyu nae baadae anategemea kua mme wa mtu na baba wa mtu baadae loh!!!!! naionea huruma familia yake tu.
 
Back
Top Bottom