navin dippe
Member
- May 18, 2015
- 47
- 104
Ana watoto wawili Wa jitu lingine? Aaah huyo hafai, oa mwingine halaf huyo uwe unadonoa tu
Jamaa anatumia pesa zake tuMasikini Dada wa watu..
Jamaa anatumia pesa zake tu
Can I risk and settle down with her?
Ukipokea hela yake kumalizia nyumba ukubali kumwoa, usipomwoa hiyo nyuma hutaishi mkuu.
Kweli wanaume wameisha
Acha nipite hivi ======》》》
Kuna huyu mwanamke aliyeniomba tuishi wote baadae tukatofautiana kwenye kuchangia hela ya pango hivyo nikahama kurudi kwangu kwenye gharama ndogo
Baada ya kuondoka kwake nikampotezea nikawa simjibu sms wala kupokea simu zake, akawa anahaha kunitafuta, nikastukia ameibukia kazini kwangu, akadai tukaongee pembeni, nikasema nakusikiliza
Akasema amepata hela kiasi flani twende tukanunue vifaa na material tumalizie nyumba yangu ambayo nimeifikisha kwenye linta, na hela zingine anategemea mkopo wake utatoka anytime, then nyumba ikiisha tuamie tuishi wote , kwamba ameshindwa kukaa mwenyewe
Wadau huyu mwanamke kiukweli simpendi isipokua ana vijisenti na amekua akiniwezesha sana napokwama, tangu nimekuwepo nae kidogo mshahara wangu unapumua
Ingawa sina demu mwingine permanent ila huyu sijamkubali kutokana na sababu zifuatazo:-
(1) huduma yake kitandani haijakidhi viwango nilivyozoea
(2) kitendo cha kuwa na watoto wawili kinanikatisha tamaa
Hasa kutokana na shuhuda mbalimbali kutoka kwa waliooa wenye watoto humu jf
(3 ) ana mzigo mkubwa wa dependants, watoto, wadogo zake, nilivyomsoma hataki kuwa mbali nao
(4 ) sina mapenzi ya dhati kwake, infact wakati fulani dhamira huwa inanishitaki na hivyo nafikia uamuzi wa kujitoa, lakini yeye husikitika sana na kutumia njia zote ili tuendelee, wakati mwingine akiona nafanya hivyo anaweza kunirushia hela kwa sim basi najikuta naona aibu najirudi
Madai yake ni kuwa anahitaji tu settle down, tufunge ndoa, tuishi pamoja for better for worse
Guys is this a right woman for me?
Can I risk and settle down with her?
Or should I give it more time for this relationship to work?
Or should I find another chick and dump this one for good?
Your help pls
Wazaire ndio wanapenda kulelewa, mleta mada una uhusiano wowote na wakongo?