Huyu msichana nataka tu hela zake yeye simpendi

Huyu msichana nataka tu hela zake yeye simpendi

Kama humpendi basi achana nae, usiendelee kutumia pesa yake na kumpotezea mda pasipo malengo nae
 
Ningeweza kumuona huyo mwanamke wako ningempiga vibao vitatu vya nguvu sana maana nimekasirika kusoma huu upuuzi.
Wanawake kama hawa ndio wanaotudhalilisha wanawake wenzao maana kwa jinsi ulivyoeleza yeye ndiye king'ang'anizi.
Iko wapi hadhi ya wanawake? Kwanini abembeleze mwanaume asiyemtaka kwa fedha?
Ndio maana threads zimekuwa nyingi huku na hata mitaani hali ndio hiyo ya vijana kutokutaka kufanya kazi sababu ya wanawake wanaopenda kuhonga wanaume kama hawa.
Tunawajengea future gani watoto wetu?
Wa kiume hawatofanya kazi wakitegemea kuhongwa na wanawake, wa kike mzigo utakuwa mzito kwao wa kulelea wanaume na watoto.
Huu ni upumbavu!
 
xx km unahongwa kwnn usichukue bn
cc wengine hatujaanz maisha kaz zenyew hatuna
 
Dogo ww ni bonge la ndina,unajiona mjanja kula pesa ya m,mke?hv ww ni m,mme kamili kweli au ngese kiana?mwanaume kamili ni yule mwenye kutimiza majukumu yake kamili na mwenye kusimamia maamuzi na misimamo yk,usipende mteremko,kumbuka there is no free lunch bro? itakugharimu tu sk moja na utakumbuka haya maneno japo unajiona mjanja
 
Siku ukipata mwanaume akawa analipa bills zako sijui itakuaje?
 
Hahahaa!! Hyo ni dhambi mkuu. Kama mtu hupendi acha kumpotezea mda wake. Acha kula hela zake. Apologise lady njoo umuone huyu jamaa hampend mwanamke ila anaipenda pesa yake
 
Last edited by a moderator:
Kuna huyu mwanamke aliyeniomba tuishi wote baadae tukatofautiana kwenye kuchangia hela ya pango hivyo nikahama kurudi kwangu kwenye gharama ndogo

Baada ya kuondoka kwake nikampotezea nikawa simjibu sms wala kupokea simu zake, akawa anahaha kunitafuta, nikastukia ameibukia kazini kwangu, akadai tukaongee pembeni, nikasema nakusikiliza

Akasema amepata hela kiasi flani twende tukanunue vifaa na material tumalizie nyumba yangu ambayo nimeifikisha kwenye linta, na hela zingine anategemea mkopo wake utatoka anytime, then nyumba ikiisha tuamie tuishi wote , kwamba ameshindwa kukaa mwenyewe

Wadau huyu mwanamke kiukweli simpendi isipokua ana vijisenti na amekua akiniwezesha sana napokwama, tangu nimekuwepo nae kidogo mshahara wangu unapumua

Ingawa sina demu mwingine permanent ila huyu sijamkubali kutokana na sababu zifuatazo:-

(1) huduma yake kitandani haijakidhi viwango nilivyozoea

(2) kitendo cha kuwa na watoto wawili kinanikatisha tamaa
Hasa kutokana na shuhuda mbalimbali kutoka kwa waliooa wenye watoto humu jf

(3 ) ana mzigo mkubwa wa dependants, watoto, wadogo zake, nilivyomsoma hataki kuwa mbali nao

(4 ) sina mapenzi ya dhati kwake, infact wakati fulani dhamira huwa inanishitaki na hivyo nafikia uamuzi wa kujitoa, lakini yeye husikitika sana na kutumia njia zote ili tuendelee, wakati mwingine akiona nafanya hivyo anaweza kunirushia hela kwa sim basi najikuta naona aibu najirudi

Madai yake ni kuwa anahitaji tu settle down, tufunge ndoa, tuishi pamoja for better for worse

Guys is this a right woman for me?

Can I risk and settle down with her?

Or should I give it more time for this relationship to work?

Or should I find another chick and dump this one for good?

Your help pls

Duuh!!.. wakiume usipende kitonga blaza utaolewa... ni aibu sana kuleta uzi kama huo hela watoe baba wa watoto wawili wewe ujishaue acha hizo jitambue wewe ni mwanaume dezo mbaya
 
Mmama anajaribu kununua mapenzi,,, hayanunuliwi na hayalazimishwi,,, we mtu"ulimuoa" kwa kumhamisha kwake, ameondoka, hapokei simu wala kujibu msms, umemfuata mpaka kazini unambembeleza umpe pesa akamalizie nyumba tena zingine za mkopo,,, na maybe huyo mama hata kiwanja hana,,
"Ngumu kumesa asee"
 
They say time the time before the time times you at another time...
Mind you najua hapo kuna tuvisa twa hapa na pale wamfanyia nae anatuona ila anajitahidi kucope na hali.
Don't think she doesn't look for an option just like you do. There it is just a matter of timing between the two of you, who takes the first shot.
Hoja yako ya wategemezi ni nyepesi sana mkuu kwa watanzania tulio wengi. Labda uoe mtoto wa mheshimiwa nanihii then wewe ndio utakuwa dependant.
Sidhani kama wewe hauna watu wanaokutegemea hadi ukereke na wategemezi wa mwenzio. Do not be self centered bro.
Anyways mie sina cha kukushauri ila nimejaribu kuanalyse contexts za thread yako then jifanyie self evaluation kabla ya maamuzi.
All the best
 
we bro ebu waonee huruma wanawake, hivi hufikirii kuwa Huyo Mama ana watoto wadogo wanamuhitaji? wasome, wale, wavaee.... ebu kuwa Na akili za Uanaume!! vip ww mzazi wako wa kike angepata li bwana kama ww....... shame on you!! Mwambie tu ajikatae akafie mbele sio kuseize hisia za Mtu with no purpose
 
kuna watu nashindwa htanimuweke kundi gani yaan mwanaume utak pesa ya mdada ukajengee afu unasem humtaki

something wrong in your brain
 
Marioo bana wanachekesha sana
Mke humpendi lkn hela yake unaipenda
 
Mkuu kwan bila huyo mama huwezi ishi??? vyema ukawa mbali na huyo mama ili kuepusha mabalaa yatakayokuja kujitokeza hapo baadae.
 
Ningeweza kumuona huyo mwanamke wako ningempiga vibao vitatu vya nguvu sana maana nimekasirika kusoma huu upuuzi.
Wanawake kama hawa ndio wanaotudhalilisha wanawake wenzao maana kwa jinsi ulivyoeleza yeye ndiye king'ang'anizi.
Iko wapi hadhi ya wanawake? Kwanini abembeleze mwanaume asiyemtaka kwa fedha?
Ndio maana threads zimekuwa nyingi huku na hata mitaani hali ndio hiyo ya vijana kutokutaka kufanya kazi sababu ya wanawake wanaopenda kuhonga wanaume kama hawa.
Tunawajengea future gani watoto wetu?
Wa kiume hawatofanya kazi wakitegemea kuhongwa na wanawake, wa kike mzigo utakuwa mzito kwao wa kulelea wanaume na watoto.
Huu ni upumbavu!

Kwakweli anatia hasira sana mno tena! ila kuna kitu kimoja wanaume siku hizi umarioo umewazidi khaaa
Mdada huyu ni mgonjwa kabisa wa mapenzi huwwezi jua aliyemzalisha 2kids na akasepa naye alig'ang'aniwa! Penzi la kung'ang'ania kasema nani? Fyuuuuuuuuu pita kushoto kabisa
 
Namjua kaka mtanashati tuu na yeye ni full Marioo mke anaadamka asbh anaenda kazini wewe unabaki umelala kama zuzu! hakuna unachoweza kufanya saaaana ni kushinda FB na kuweka ushabikia ama wa mpira au siasa nothing at all!

Inafika anakuwa na wivu na kijinga lazima utagongewa bro wewe ni boya tuu ndani ya nyumba jiongezeee uza hata ice cream broooo
 
Watu tupo busy na mabadiliko hatuna muda wa kujadili vitu vya kipuuzi......
 
Back
Top Bottom