ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 947
- 547
MSICHANA:bebi nina shida ya elfu 90,
JAMAA akaingiza mkono mfukoni na kutoa laki moja kisha akamkabidhi MSICHANA.
MSICHANA:asante bebi.
JAMAA:usijal bebi.
wakakuta machungwa mbele .
JAMAA:bebi ninunulie chungwa
MSICHANA:sina hata hela wewe mwanaume mzima unakosa mia ya chungwa.
Wakati amepewa laki moja na huyo mwanaume alaf anamwambia mwanaume mzima hana mia ya kununulia chungwa na
wakati kwenye elfu 90 aliyo omba kaongezwa elfu 10 alaf anasema hana hela.
#Wasichana_mungu_anawaona.
[HASHTAG]#C2017BestPost[/HASHTAG]