Huyu msichana kaniaibisha sana sikutegemea

Huyu msichana kaniaibisha sana sikutegemea

Kuna pisi nilichukua namba kwa ajili ya biashara, kesho yake nasikia mtaani kashatangaza nimemchezea na kumuacha, hayo maneno aliniambia dada mmoja tunaheshimiana sana, nikaambiwa tena na mtu mwingine. Na ako na sura pasono mweusi tiii chuma cha mjerumani.
Ko wee kuwa na huo weupe wa mchongo usiokua na nuru, ndo unajiona bonge la bwana.
Ila mzungu pori una shida weyee. Lol
😂😂😂😂😂
 
Wana JF wengi wanamwamini huyu kijana eti wanasema si mkorofi na hajawahi kuingia kwenye mzozo na yeyote humu.

Nadhani slogan yake "no malice to nobody" ndo optical illusion kwa watu.
Huyo dogo anao mzozo na mimi na kuna siku ntamfua bila ya sabuni mpaka mje mmpost na kinjiwa cheupe, ajichanganye aone n vile ananikwepa sana huyu Intelligent businessman
 
Unahitaj tukusaidie nini?
Hsta mm nashangaa kama ww ulipita shule lengo la andiko lako n nn?? Eti nilipass hahaa kuwa fm 5 tayarbamejioona ni sawa wale ndg wakifika kambinini wanapiga picha ety ss wanajeshi kumbe wamenda kufundishwa adabu waliozikosa kwao
 
Back
Top Bottom