Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,300
- 114,586
Sina uzungu wowote mkuuManeno yanayosema 'Half american ni mzungu'.
Si unajua wazungu walivyo na soko kwa dada zetu.
Sina uzungu wowote mkuuManeno yanayosema 'Half american ni mzungu'.
Si unajua wazungu walivyo na soko kwa dada zetu.
Afadhali Sasa mkuu.Sina uzungu wowote mkuu
Wee ponjoroo, una shida sana, LolKwanza siringi, pili mimi sio mweupe huyo ni hila zake tu baada ya kushindwa kwenda misa ya kwanza.
Ponjoroo acha kuringa, mbwehaa wee.😂 kwa weupe upi nilionao?
Sasa saiviForm6 nilimaliza 2015 mkuu
Mi ni black mamba chuma cheusi haswa 😂Ponjoroo acha kuringa, mbwehaa wee.
😂😂😂😂😂
Si ni kweli hujaenda misa ya kwanza 😂Wee ponjoroo, una shida sana, Lol
😂😂😂😂
Nyokoo wee, 😂😂😂😂Si ni kweli hujaenda misa ya kwanza 😂
Uongooo, 😂😂😂😂Mi ni black mamba chuma cheusi haswa 😂
Amini kwambaUongooo, 😂😂😂😂
Hiyo katiba imetungwa lini kweli nihudhurie vikaoWewe mwanaume unangoja mpaka utongozwe! Pumbavu kabisa, ningekuwa baba yako leo ungelala kibarazani.
Alafu akitangaza shida iko wapi? Nyie vivulana mnashida gani nyie?
Mwanaume unaona aibu kusemwa kuwa unatongoza? Mwanaume asiyetongoza ndiye anapaswa kuona aibu. Ni wajinu wako kutongoza mbuzi wewe!