Huyu msichana kaniaibisha sana sikutegemea

Binafsi huwa sipendi kutongoza tongoza na hata nikivutiwa na msichana huwa sikurupuki kumtongoza hadi nione red flag kuwa nayeye anavutiwa na mimi lengo ni kuondoa kero na aibu za kutangazwa kwa watu

Sasa huyu msichana nimesoma nae o-level na kiukweli nilikuwa navutiwa nae ila sikuwahi kumwambia japo alikuwa anaonekana kuvutiwa nami pia. Hadi tunamaliza Form4 hatukuwahi kuongea inshu za mapenzi

Mimi nilifaulu kwenda form5 yeye hakufanikiwa kupass sasa juzi kati narudi kitaa akanifungukia kuwa angetamani kuwa namimi ila hakusema kinaga ubaga alisema kwa mafumbo mimi nikampa moyo usiwaze na kwakuwa tulikutana tu njiani kusalimiana kila mtu akajua Mambo yake

Basi nikamcheki kwa sms tukachati na kumuuliza kuhusu lile alosema akawa hakukubali wala hakukataa akabaki katikati. Sasa kilichonikera kesho yake naenda kwa mashkaji kupiga story mbili tatu nakuta kila mtu anayo habari kuwa eti nimemtongoza na namtaka aiseeh nimejisikia vibaya Sana

Yani nilikuwa nakaribia kumuelewa na kumpenda lakini ghafla nimemkinai sitaki hata kumuona sijui wasichana wakoje
mbona hilo ni jambo la kawaida tu,na kwa njia ndio amekuambia njoo unigegede
 
Wee hizi tabia ni za mtu anae vunjwa,,,,,huoni kama binti anajimwambafai kuwa na wew??? Piga mbususu Acha kelele kijana
 
Mh hii sio kweli kwamba atakuwa bikra sio kweli mkuu
 
Binafsi huwa sipendi kutongoza tongoza na hata nikivutiwa na msichana huwa sikurupuki kumtongoza hadi nione red flag kuwa nayeye anavutiwa na mimi lengo ni kuondoa kero na aibu za kutangazwa kwa watu

Sasa huyu msichana nimesoma nae o-level na kiukweli nilikuwa navutiwa nae ila sikuwahi kumwambia japo alikuwa anaonekana kuvutiwa nami pia. Hadi tunamaliza Form4 hatukuwahi kuongea inshu za mapenzi

Mimi nilifaulu kwenda form5 yeye hakufanikiwa kupass sasa juzi kati narudi kitaa akanifungukia kuwa angetamani kuwa namimi ila hakusema kinaga ubaga alisema kwa mafumbo mimi nikampa moyo usiwaze na kwakuwa tulikutana tu njiani kusalimiana kila mtu akajua Mambo yake

Basi nikamcheki kwa sms tukachati na kumuuliza kuhusu lile alosema akawa hakukubali wala hakukataa akabaki katikati. Sasa kilichonikera kesho yake naenda kwa mashkaji kupiga story mbili tatu nakuta kila mtu anayo habari kuwa eti nimemtongoza na namtaka aiseeh nimejisikia vibaya Sana

Yani nilikuwa nakaribia kumuelewa na kumpenda lakini ghafla nimemkinai sitaki hata kumuona sijui wasichana wakoje
vikao huendi kabisa wewe
 
Binafsi huwa sipendi kutongoza tongoza na hata nikivutiwa na msichana huwa sikurupuki kumtongoza hadi nione light flag kuwa nayeye anavutiwa na mimi lengo ni kuondoa kero na aibu za kutangazwa kwa watu

Sasa huyu msichana nimesoma nae o-level na kiukweli nilikuwa navutiwa nae ila sikuwahi kumwambia japo alikuwa anaonekana kuvutiwa nami pia. Hadi tunamaliza Form4 hatukuwahi kuongea inshu za mapenzi

Mimi nilifaulu kwenda form5 yeye hakufanikiwa kupass sasa juzi kati narudi kitaa akanifungukia kuwa angetamani kuwa namimi ila hakusema kinaga ubaga alisema kwa mafumbo mimi nikampa moyo usiwaze na kwakuwa tulikutana tu njiani kusalimiana kila mtu akajua Mambo yake

Basi nikamcheki kwa sms tukachati na kumuuliza kuhusu lile alosema akawa hakukubali wala hakukataa akabaki katikati. Sasa kilichonikera kesho yake naenda kwa mashkaji kupiga story mbili tatu nakuta kila mtu anayo habari kuwa eti nimemtongoza na namtaka aiseeh nimejisikia vibaya Sana

Yani nilikuwa nakaribia kumuelewa na kumpenda lakini ghafla nimemkinai sitaki hata kumuona sijui wasichana wakoje
Sioni shida hapa. So, ulitaka akutangazie vipi? Kuwa wewe bwabwa? Na, si kweli ulimtongoza? Shida nini sasa?
 
Kuna mawili .
Bado hujakomaa
Au wote wawili bado hamjakomaa

Soma shule dogo
 
Back
Top Bottom