Huyu msichana kaniaibisha sana sikutegemea

Una kaujinga flani hivi ..... Yaani unasubiri mwanamke akutongoze????.....
 
Binafsi huwa sipendi kutongoza tongoza na hata nikivutiwa na msichana huwa sikurupuki kumtongoza hadi nione red flag kuwa nayeye anavutiwa na mimi lengo ni kuondoa kero na aibu za kutangazwa kwa watu

Sasa huyu msichana nimesoma nae o-level na kiukweli nilikuwa navutiwa nae ila sikuwahi kumwambia japo alikuwa anaonekana kuvutiwa nami pia. Hadi tunamaliza Form4 hatukuwahi kuongea inshu za mapenzi

Mimi nilifaulu kwenda form5 yeye hakufanikiwa kupass sasa juzi kati narudi kitaa akanifungukia kuwa angetamani kuwa namimi ila hakusema kinaga ubaga alisema kwa mafumbo mimi nikampa moyo usiwaze na kwakuwa tulikutana tu njiani kusalimiana kila mtu akajua Mambo yake

Basi nikamcheki kwa sms tukachati na kumuuliza kuhusu lile alosema akawa hakukubali wala hakukataa akabaki katikati. Sasa kilichonikera kesho yake naenda kwa mashkaji kupiga story mbili tatu nakuta kila mtu anayo habari kuwa eti nimemtongoza na namtaka aiseeh nimejisikia vibaya Sana

Yani nilikuwa nakaribia kumuelewa na kumpenda lakini ghafla nimemkinai sitaki hata kumuona sijui wasichana wakoje
Mkuu uko sawa kweli Sasa nini mbaya mwanaume kumtongaza na kumtaka mwanamke?
 
Una kaujinga flani hivi ..... Yaani unasubiri mwanamke akutongoze????.....
Kutongoza mwanamke asievutiwa nawewe ni kutafuta vizinga visivyokuwa na kikomo na mbususu usipewe
 
Kuna pisi nilichukua namba kwa ajili ya biashara, kesho yake nasikia mtaani kashatangaza nimemchezea na kumuacha, hayo maneno aliniambia dada mmoja tunaheshimiana sana, nikaambiwa tena na mtu mwingine. Na ako na sura pasono mweusi tiii chuma cha mjerumani.
Na uki zingatia wewe ni nusu albino, basi lazima uchanganyikiwe.
 
Kwanini anitangaze baada ya kumtongoza na wakati kanianza mwenyewe? Kumtongoza sio kitu mbaya ila mbaya ni kunitangaza baada ya kumtongoza
Mkuu ushatomba wanawake wangapi so far?
 
Binafsi huwa sipendi kutongoza tongoza na hata nikivutiwa na msichana huwa sikurupuki kumtongoza hadi nione red flag kuwa nayeye anavutiwa na mimi lengo ni kuondoa kero na aibu za kutangazwa kwa watu

Sasa huyu msichana nimesoma nae o-level na kiukweli nilikuwa navutiwa nae ila sikuwahi kumwambia japo alikuwa anaonekana kuvutiwa nami pia. Hadi tunamaliza Form4 hatukuwahi kuongea inshu za mapenzi

Mimi nilifaulu kwenda form5 yeye hakufanikiwa kupass sasa juzi kati narudi kitaa akanifungukia kuwa angetamani kuwa namimi ila hakusema kinaga ubaga alisema kwa mafumbo mimi nikampa moyo usiwaze na kwakuwa tulikutana tu njiani kusalimiana kila mtu akajua Mambo yake

Basi nikamcheki kwa sms tukachati na kumuuliza kuhusu lile alosema akawa hakukubali wala hakukataa akabaki katikati. Sasa kilichonikera kesho yake naenda kwa mashkaji kupiga story mbili tatu nakuta kila mtu anayo habari kuwa eti nimemtongoza na namtaka aiseeh nimejisikia vibaya Sana

Yani nilikuwa nakaribia kumuelewa na kumpenda lakini ghafla nimemkinai sitaki hata kumuona sijui wasichana wakoje
Jaribu kuwa mwanaume basi uwache usenge, mwanaume kuongea hivyo ni dalili mbaya wanaume wenzio unatutia aibu shenzi kabisa
 
Kwanini anitangaze baada ya kumtongoza na wakati kanianza mwenyewe? Kumtongoza sio kitu mbaya ila mbaya ni kunitangaza baada ya kumtongoza
Sijui lengo lako ni lipi kuja kutangaza huku kuwa umetongozwa na mwanamke, kadri unavyojieleza ndio unavyozidi kuonekana mshamba WA mapenzi, inaonekana kutongozwa ni kitu Cha ajabu sana kwenye maisha yako, try to be smart and gentlemen bro, hayo mambo ni kawaida mjini,
 
Back
Top Bottom