Huyu msichana ataniua hakika

Huyu msichana ataniua hakika

Kumbe na ww domo zege mwenzake stail gani hizi za kutongoza huo ni umamaa wanaume wa Dar bna agh!!
Hivi kumbe bado kuna watu siku hizi wanatongoza?
Mie nilishasahau kutongoza ila huwa nikimtamani demu naomba mbunye ananipa nagonga mhuri nasepa.
 
Kifupi umekamatika. Na akijua amekukamata umekwisha.
Suluhisho ni kumuambia ukweli unampenda kupigwa kibuti ni kawaida na ukomavu.
 
Hahaha hvi miaka 21 ni miaka midogo sana enhe
Eeeh. Mi umri huo nilikua nawaza watu wanawezaje kujiua au kulia kwa mapenzi.
Nilikua nasema sitaolewa sababu siwezi kutiana kila siku. Nilikua hata sijui kama kuna kuwa horny au kumpenda mtu mpaka unadata.
Ndo maana namshangaa mwenzangu maana najua anatakiwa awe busy na shule
 
Miaka 21 si mingi ila si michache sana binafsi miaka hyo
nilikuwa mgumu ile kweli kweli.
Ila umenifurahisha hapo kwenye kukataa kuolewa ulihisi kila siku itakuwa mwendo wa mechi wewe
 
Eeeh. Nilikua naona sex ni mateso flani hivi.
 
Daah nakuonea huruma sana mkuu, afu ukute unapenda hivyo na huna pesa uta disco
 
Wakuu habari yenu, mimi ni kijana wa miaka 21 kwa sasa na nipo chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tanzania.Toka nipo shuleni nimekuwa nikiweza kujiweka mbali na wanawake kwa ujumla kwani niliamini huwezi kuwa na mpenzi shuleni na ukafaulu kwa viwango vya juu kwa upande wangu lakini namshukuru Mungu kwa ujumla kwani nilifanikiwa kwa kiwango cha asilimia mia kutokua na uhusiano wowote kabisa.

Sasa tatizo linakuja muda huu nipo chuoni napata wakati mgumu sana hata kuongea na msichana tu,nimekuwa kama mgonjwa hivi nikiwakimbia sana hata group discussion zangu nimetafuta zisizo na mwanamke hata mmoja ndipo najihisi salama kabisa.

Sasa kwa bahati mbaya kuna msichana mmoja nashindwa kumtoa akilini kabisa,nilivyomuona siku ya kwanza,mwili wangu ulitetemeka kwa sekunde chache na kama utani akaja kukaa siti ya mbele yangu,hakika nilipata shida sana kwenye kipindi kile kwani niliishia kumuangalia tu muda wote na huku nikijihisi naumwa tumbo na nilikuwa na hofu hivi na moyo ulikuwa ukienda mbiokipindi kilivyoisha alitoka njee,ndipo nilipoweza kujirudi katika hali ya kawaida.Sasa mpaka leo hii nakuwa nashindwa kuwa normal ninaopokuwa karibu naye,either nitaumwa tumbo au moyo kwa uwoga,na kitu cha ajabu naweza nikajipanga kumsalimia ila nikikutana nae nashindwa kumwambia hata mambo tu.

Mpaka muda huu tunafunga chuo kwa likizo fupi lakini bado sijawahi kumuongelesha,lakini nimetafuta jina lake kwa shida sana,nimekuja kulipata leo wakati wa mtihani chuoni. Hakika nashindwa kujizuia kutompenda huyu msichana lakini naanzeje wakuu? Maana hata jinsi tu ya kumsalimia naona shida kubwa na wakati ni mcheshi sana,na sio muongeaji sana.

Wakuu nipeni mbinu hata niweze kumsalimia tu au niunde urafiki naye tu,maana huwa nakumbuka navyocheka,anavyotembea na anavyoongea na huwa nikikumbuka hayo huwa najikuta naacheka peke yangu kama chizi vile,sikuwahi kufikiria kuwa kupenda kunakuwa hivi ila na ujanja wangu wote nimependa kwa mara ya kwanza ila nashindwa kufanya chochote!
Msaada kwa wazoefu wa haya mambo wakubwa

Shida kubwa hujuwi kutongoza, omba namba yake nikutilie mistari mimi afu itakuwa rahisi kwako
 
Wakuu nipeni mbinu hata niweze kumsalimia tu au niunde urafiki naye tu,maana huwa nakumbuka navyocheka,anavyotembea na anavyoongea na huwa nikikumbuka hayo huwa najikuta naacheka peke yangu kama chizi vile,sikuwahi kufikiria kuwa kupenda kunakuwa hivi ila na ujanja wangu wote nimependa kwa mara ya kwanza ila nashindwa kufanya chochote!
Msaada kwa wazoefu wa haya mambo wakubwa
Dah! kaka mkubwa hapa unaelekea kuisoma namba kabisaaa. Hivi hivi tabu unaifuata. Fanya hivi,make sure you dump all those feelings. Jizoeshe kwanza kuwachukulia wanawake kama wa kawaida tu. Tafuta rafiki tu wa kike piga naye story sana, wazoee. When umeweza kuget hold of your feelings mfuate huyo dada. Saa nyingine unaeza kuta ni uoga wako tu ukishazoea wasichana unamuona wa kawaida.

If you seduce her now, here is what will happen. Ikitokea kakukubali, hutakua na maamuzi ya kiume kwenye uhusiano. Kama yuko vizuri kuongoza yeye ndiye atadiktate things. Mwisho wa siku mtakapoelekea wewe ndiye utakuja kubeba lawama zote. In short you are not matured enough to handle a woman, hasa hawa wa kizazi hiki.

If she dumps you, utasuffer depression moja kali sana. Ambayo kama haitakucost years from your education it may at least cost you some grades na kukupa vidonda vya tumbo - mind you, wengine imewacost hata life. If you are to get out of it alive. Ni kwamba jamii itasuffer kupatikana kwa another player if you know what i mean
 
Hivi kumbe bado kuna watu siku hizi wanatongoza?
Mie nilishasahau kutongoza ila huwa nikimtamani demu naomba mbunye ananipa nagonga mhuri nasepa.
Sijashanga sana jina la profile limekudefine
Acha tabia za bata unaokutana nao ni mala. a
 
Pole sana dogo. Usipoamka kwenye huo usingizi utaharibu future yako kwa kumuwaza huyo binti. Fahamu yafuatayo;
1. Yeye hajui kinachoendelea kwako na hata akijua hatachukulia kwa uzito wowote na pengine utaishia kuwa kituko machoni pake.
2. Hata ukijipa ujasiri wa kumfuata hutaweza kuwa na maelezo yaliyonyooka kutokana na hali uliyonayo sasa na hivyo utaishia kuwa domo zege au waweza kuwa na maelezo too serious as if unafanya presentation ya electromagnetism na hivyo utaishia kupoteza pambano hatua za awali kabisa.
3. Suluhisho anza kujichanganya na kutengeneza marafiki wa kike wa kawaida usiokuwa na hisia nao hivyo itakutibu kisaikolojia ila uwe makini kwenye kutengeneza huo urafiki kwani wengine wanaweza kukuza faster na hata kukuachia maradhi. Endelea kuabstain na jichanganye sana kwenye fellowships za huko chuoni utajengeka kijamii na kiroho.
 
Wakuu habari yenu, mimi ni kijana wa miaka 21 kwa sasa na nipo chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tanzania.Toka nipo shuleni nimekuwa nikiweza kujiweka mbali na wanawake kwa ujumla kwani niliamini huwezi kuwa na mpenzi shuleni na ukafaulu kwa viwango vya juu kwa upande wangu lakini namshukuru Mungu kwa ujumla kwani nilifanikiwa kwa kiwango cha asilimia mia kutokua na uhusiano wowote kabisa.

Sasa tatizo linakuja muda huu nipo chuoni napata wakati mgumu sana hata kuongea na msichana tu,nimekuwa kama mgonjwa hivi nikiwakimbia sana hata group discussion zangu nimetafuta zisizo na mwanamke hata mmoja ndipo najihisi salama kabisa.

Sasa kwa bahati mbaya kuna msichana mmoja nashindwa kumtoa akilini kabisa,nilivyomuona siku ya kwanza,mwili wangu ulitetemeka kwa sekunde chache na kama utani akaja kukaa siti ya mbele yangu,hakika nilipata shida sana kwenye kipindi kile kwani niliishia kumuangalia tu muda wote na huku nikijihisi naumwa tumbo na nilikuwa na hofu hivi na moyo ulikuwa ukienda mbiokipindi kilivyoisha alitoka njee,ndipo nilipoweza kujirudi katika hali ya kawaida.Sasa mpaka leo hii nakuwa nashindwa kuwa normal ninaopokuwa karibu naye,either nitaumwa tumbo au moyo kwa uwoga,na kitu cha ajabu naweza nikajipanga kumsalimia ila nikikutana nae nashindwa kumwambia hata mambo tu.

Mpaka muda huu tunafunga chuo kwa likizo fupi lakini bado sijawahi kumuongelesha,lakini nimetafuta jina lake kwa shida sana,nimekuja kulipata leo wakati wa mtihani chuoni. Hakika nashindwa kujizuia kutompenda huyu msichana lakini naanzeje wakuu? Maana hata jinsi tu ya kumsalimia naona shida kubwa na wakati ni mcheshi sana,na sio muongeaji sana.

Wakuu nipeni mbinu hata niweze kumsalimia tu au niunde urafiki naye tu,maana huwa nakumbuka navyocheka,anavyotembea na anavyoongea na huwa nikikumbuka hayo huwa najikuta naacheka peke yangu kama chizi vile,sikuwahi kufikiria kuwa kupenda kunakuwa hivi ila na ujanja wangu wote nimependa kwa mara ya kwanza ila nashindwa kufanya chochote!
Msaada kwa wazoefu wa haya mambo wakubwa
Mkuu kwa hiyo hujawahi
 
Acha kumdanganya kijana mbona mimi nimeanza kuonja mbunye tangu nikiwa chekechea?
Nimefika secondary nilishatomba mpaka wake za waalimu.

Mkuu hapa hatuwazungumzii nyie wa Elimu ya watu wazima (MEMKWA) mlioanza chekeche mkiwa na 21 years.
 
Back
Top Bottom