Huyu msichana ataniua hakika

Huyu msichana ataniua hakika

Mungu anisamehe ila kusoma miaka yako tu kumenipotezea mood ya kusoma uzi wako
 
Jitahidi angalau kumkazia macho mnapotazamana, ukisha maliza zoezi hilo anza kwa kumtolea thumb, akijibu kwa thumb, sasa anza mambo akiendelea poa ....... tiririka na maneno. tafadhali usinifelishe sijawahi kufeli kumcoach mtu katika haya mambo. Narejea tena isinifelishe sitaki record za morinho, akioneaha tuu ana interest anza kuazima kalamu japo yakwako iko mfukoni mwa shati azima yake, halafu endelea na kutamani kitabu chake chochote alichonacho, wele wako ufeli.

UKO MUHIMBILI HALAFU UNASHINDWA KUMTOKEA MWENZAKO AMBAE NI SHE WE VEEEEPPEEEE
 
barehe noma kama baunsa alie pigwa na mtoto
 
Akat kuna jamaa yake anamkunja kifo cha mende na dogy deile,dem anakula mic deile ya jamaa,..we unalia lia hapa et unamuogopa...hahahaha,dah

Dunia hii.
 
Hayanaga ujuuuuzi yaleeee, kupenda sana utakua chizi (in kiba voice)
 
Acha kupiga punyeto ujasili utaupata. Sifa za mpiga nyeto wengi ni pamoja na kuogopa wananawake 7bu nyegezi anafika mwenyewe. Copy huu ujumbe ulioutuma humu jf umutumie yeye huyo demu. Dr unakuawaje muoga/ aibu????!!!
 
ndicho nilichooomaanisha mkuu kwamba amenikaa akilini sana, na kuhusu shule napiga kwelikweli ila napitia katika kipindi hiki
Cha kwanza jikiri mwenyewe katika nafsi yako ya kwamba unataka uwe naye mbali. Kwa maana jitahidi kuzizuia hisiya zako juu yake, mfanye uwe unamuona kama unavyomuona mwanamke mwengine ambaye haumuhitaji kimapenzi.

Kama mazingira hayaruhusu muwe karibu basi usiyalizimishe ili muwe karibu.

Najua ni kitu kigumu kumtoa mtu unayempenda ndani ya moyo kwa ghafla lakini jitahidi katika hayo. Na kama hisiya zikikujia juu yake jaribu kujiongelesha hata wewe mwenyewe kimoyo moyo kwa kusema " Mimi ni bora zaidi ya hili, Mimi ni Mshindi, mambo kama haya hayawezi kunitawala na muda ukifika haya mambo nitayatawala kwa sababu Mimi ni mshindi".

Dhana ya kujiongelesha unaweza kuona ni kama ujuha fulani hivi lakini niamini katika hili, hali ya kujiongelesha mwenyewe inakupa ujasiri.

Binafsi, ndizo mbinu ninazotumia. Tofauti yangu na yako wewe bado ni mdogo na Mimi ni mkubwa. Piga kitabu kwanza hayo mengine yatakuja tu dogo. Wala haina haja ya kupagawa.
 
Mwanaume mapenzi hayawezi mvurugia ufaulu. Binafsi nilianza mapenzi nikiwa form one, kidato cha nne nilipiga one ya 10. Kidato cha sita one ya 4. Chuo nilipiga GPA 4.6. Kote huko nilifagia kadiri nilivyoona.

Ukipenda/ukitamani tongoz. Mtoto wa kiume unatafuta ushauri kwenye wajibu wako. Khaaa!
 
Mwanaume mapenzi hayawezi mvurugia ufaulu. Binafsi nilianza mapenzi nikiwa form one, kidato cha nne nilipiga one ya 10. Kidato cha sita one ya 4. Chuo nilipiga GPA 4.6. Kote huko nilifagia kadiri nilivyoona.

Ukipenda/ukitamani tongoz. Mtoto wa kiume unatafuta ushauri kwenye wajibu wako. Khaaa!
Habar za hapo BOT, tufanyie mpango thamani ya hela yetu iwe sawa na ukuaji wa uchumi
 
Habar za hapo BOT, tufanyie mpango thamani ya hela yetu iwe sawa na ukuaji wa uchumi

😀😀😀😀😀
Mkuu naona umeamua kunitukana kabisa. Mimi nimeshatumbuliwa na nimeambiwa hakuna nitakachopata
 
Nenda library ukajisomee huenda utapata mbinu, au google how to make it with a new lady of your heart

Wakuu habari yenu, mimi ni kijana wa miaka 21 kwa sasa na nipo chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tanzania.Toka nipo shuleni nimekuwa nikiweza kujiweka mbali na wanawake kwa ujumla kwani niliamini huwezi kuwa na mpenzi shuleni na ukafaulu kwa viwango vya juu kwa upande wangu lakini.Namshukuru Mungu kwa ujumla kwani nilifanikiwa kwa kiwango cha asilimia mia kutokua na uhusiano wowote kabisa.
Sasa tatizo linakuja muda huu nipo chuoni napata wakati mgumu sana hata kuongea na msichana tu,nimekuwa kama mgonjwa hivi nikiwakimbia sana hata group discussion zangu nimetafuta zisizo na mwanamke hata mmoja ndipo najihisi salama kabisa
Sasa kwa bahati mbaya kuna msichana mmoja nashindwa kumtoa akilini kabisa,nilivyomuona siku ya kwanza,mwili wangu ulitetemeka kwa sekunde chache na kama utani akaja kukaa siti ya mbele yangu,hakika nilipata shida sana kwenye kipindi kile kwani niliishia kumuangalia tu muda wote na huku nikijihisi naumwa tumbo na nilikuwa na hofu hivi na moyo ulikuwa ukienda mbio.
kipindi kilivyoisha alitoka njee,ndipo nilipoweza kujirudi katika hali ya kawaida.Sasa mpaka leo hii nakuwa nashindwa kuwa normal ninaopokuwa karibu naye,either nitaumwa tumbo au moyo kwa uwoga,na kitu cha ajabu naweza nikajipanga kumsalimia ila nikikutana nae nashindwa kumwambia hata mambo tu.
Mpaka muda huu tunafunga chuo kwa likizo fupi lakini bado sijawahi kumuongelesha,lakini nimetafuta jina lake kwa shida sana,nimekuja kulipata leo wakati wa mtihani chuoni. Hakika nashindwa kujizuia kutompenda huyu msichana lakini naanzeje wakuu? Maana hata jinsi tu ya kumsalimia naona shida kubwa na wakati ni mcheshi sana,na sio muongeaji sana.
Wakuu nipeni mbinu hata niweze kumsalimia tu au niunde urafiki naye tu,maana huwa nakumbuka anavyocheka,anavyotenbea na anavyoongea na huwa nikikumbuka hayo huwa najikuta naacheka peke yangu kama chizi vile,sikuwahi kufikiria kuwa kupenda kunakuwa hivi ila na ujanja wangu wote nimependa kwa mara ya kwanza ila nashindwa kufanya chochote!
MSAADA KWA WAZOEFU WA HAYA MAMBO WAKUBWA
 
Back
Top Bottom