Mahole
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 682
- 924
Dawa yake kumpigia nyeto tu chooni yaan ukifika unamvutia hisia mpaka wazungu wanakujaasante sana mkuu lakini sasa nawezaje kumuondoa akilini maana ameniganda sana
Dawa yake kumpigia nyeto tu chooni yaan ukifika unamvutia hisia mpaka wazungu wanakujaasante sana mkuu lakini sasa nawezaje kumuondoa akilini maana ameniganda sana
ndicho nilichooomaanisha mkuu kwamba amenikaa akilini sana, na kuhusu shule napiga kwelikweli ila napitia katika kipindi hikiWewe ndio umemganda yeye..
Ukilijua hilo utamuondoa akilini hata usiku huu huu.
PiGa shule, Muhimbili sio kanisani napafahamu vizuri hapo
HahahahhaaPeleka story yako kwenye magazeti ya udaku Anti Liz akusaidie kujibu
HahahaaaaaAfu inabidi JF liongezwe jukwaa la watoto ili wawe wanacheza huko
shule napiga kwelikweli ila napitia katika kipindi hiki
mdogo wangu *Testosterone* *hormones* zikianza kusambaa mwili mzima huyo girl unayempotezea utaamwona DHAHABU ....na pia SAFARI ZA KWENDA OPEC (ZANAKI GIRLS HIGH SCHOOL) utaziona za kawaidiaa sana mdogo wanguuuunasoma muhimbili kaka
asante sana mkuu lakini sasa nawezaje kumuondoa akilini maana ameniganda sana
shukurani mkuumdogo wangu *Testosterone* *hormones* zikianza kusambaa mwili mzima huyo girl unayempotezea utaamwona DHAHABU ....na pia SAFARI ZA KWENDA OPEC (ZANAKI GIRLS HIGH SCHOOL) utaziona za kawaidiaa sana mdogo wanguuuu
HINTS.
waulize walioko 3rd year na wengineo WATAKU TELL TUUU ASEEEE
HINTS 2
USIJE PIGA PUCHU. Coz ina haribu nerves systems za kubeba hayo madesa ,pia soma sana aseeeeee maana wanadisco sio chamtoto hapo
Kaa juani sn ayeyuke kjn!asante sana mkuu lakini sasa nawezaje kumuondoa akilini maana ameniganda sana
Mwandikie barua,simple!!!Wakuu habari yenu, mimi ni kijana wa miaka 21 kwa sasa na nipo chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tanzania.Toka nipo shuleni nimekuwa nikiweza kujiweka mbali na wanawake kwa ujumla kwani niliamini huwezi kuwa na mpenzi shuleni na ukafaulu kwa viwango vya juu kwa upande wangu lakini.Namshukuru Mungu kwa ujumla kwani nilifanikiwa kwa kiwango cha asilimia mia kutokua na uhusiano wowote kabisa.
Sasa tatizo linakuja muda huu nipo chuoni napata wakati mgumu sana hata kuongea na msichana tu,nimekuwa kama mgonjwa hivi nikiwakimbia sana hata group discussion zangu nimetafuta zisizo na mwanamke hata mmoja ndipo najihisi salama kabisa
Sasa kwa bahati mbaya kuna msichana mmoja nashindwa kumtoa akilini kabisa,nilivyomuona siku ya kwanza,mwili wangu ulitetemeka kwa sekunde chache na kama utani akaja kukaa siti ya mbele yangu,hakika nilipata shida sana kwenye kipindi kile kwani niliishia kumuangalia tu muda wote na huku nikijihisi naumwa tumbo na nilikuwa na hofu hivi na moyo ulikuwa ukienda mbio.
kipindi kilivyoisha alitoka njee,ndipo nilipoweza kujirudi katika hali ya kawaida.Sasa mpaka leo hii nakuwa nashindwa kuwa normal ninaopokuwa karibu naye,either nitaumwa tumbo au moyo kwa uwoga,na kitu cha ajabu naweza nikajipanga kumsalimia ila nikikutana nae nashindwa kumwambia hata mambo tu.
Mpaka muda huu tunafunga chuo kwa likizo fupi lakini bado sijawahi kumuongelesha,lakini nimetafuta jina lake kwa shida sana,nimekuja kulipata leo wakati wa mtihani chuoni. Hakika nashindwa kujizuia kutompenda huyu msichana lakini naanzeje wakuu? Maana hata jinsi tu ya kumsalimia naona shida kubwa na wakati ni mcheshi sana,na sio muongeaji sana.
Wakuu nipeni mbinu hata niweze kumsalimia tu au niunde urafiki naye tu,maana huwa nakumbuka anavyocheka,anavyotenbea na anavyoongea na huwa nikikumbuka hayo huwa najikuta naacheka peke yangu kama chizi vile,sikuwahi kufikiria kuwa kupenda kunakuwa hivi ila na ujanja wangu wote nimependa kwa mara ya kwanza ila nashindwa kufanya chochote!
MSAADA KWA WAZOEFU WA HAYA MAMBO WAKUBWA
ndicho nilichooomaanisha mkuu kwamba amenikaa akilini sana, na kuhusu shule napiga kwelikweli ila napitia katika kipindi hiki
subiri dr Rutha akupitie akili itakaa sawanasoma muhimbili kaka
Wew jamaa nikiona avatar yakomdogo wangu *Testosterone* *hormones* zikianza kusambaa mwili mzima huyo girl unayempotezea utaamwona DHAHABU ....na pia SAFARI ZA KWENDA OPEC (ZANAKI GIRLS HIGH SCHOOL) utaziona za kawaidiaa sana mdogo wanguuuu
HINTS.
waulize walioko 3rd year na wengineo WATAKU TELL TUUU ASEEEE
HINTS 2
USIJE PIGA PUCHU. Coz ina haribu nerves systems za kubeba hayo madesa ,pia soma sana aseeeeee maana wanadisco sio chamtoto hapo
Umejuaje kama ni kaka/dada muuuliza swali?nasoma muhimbili kaka