Huyu msichana ataniua hakika

Wakuu habari yenu, mimi ni kijana wa miaka 21 kwa sasa na nipo chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tanzania.Toka nipo shuleni nimekuwa nikiweza kujiweka mbali na wanawake kwa ujumla kwani niliamini huwezi kuwa na mpenzi shuleni na ukafaulu kwa viwango vya juu kwa upande wangu lakini namshukuru Mungu kwa ujumla kwani nilifanikiwa kwa kiwango cha asilimia mia kutokua na uhusiano wowote kabisa.

Sasa tatizo linakuja muda huu nipo chuoni napata wakati mgumu sana hata kuongea na msichana tu,nimekuwa kama mgonjwa hivi nikiwakimbia sana hata group discussion zangu nimetafuta zisizo na mwanamke hata mmoja ndipo najihisi salama kabisa.

Sasa kwa bahati mbaya kuna msichana mmoja nashindwa kumtoa akilini kabisa,nilivyomuona siku ya kwanza,mwili wangu ulitetemeka kwa sekunde chache na kama utani akaja kukaa siti ya mbele yangu,hakika nilipata shida sana kwenye kipindi kile kwani niliishia kumuangalia tu muda wote na huku nikijihisi naumwa tumbo na nilikuwa na hofu hivi na moyo ulikuwa ukienda mbiokipindi kilivyoisha alitoka njee,ndipo nilipoweza kujirudi katika hali ya kawaida.Sasa mpaka leo hii nakuwa nashindwa kuwa normal ninaopokuwa karibu naye,either nitaumwa tumbo au moyo kwa uwoga,na kitu cha ajabu naweza nikajipanga kumsalimia ila nikikutana nae nashindwa kumwambia hata mambo tu.

Mpaka muda huu tunafunga chuo kwa likizo fupi lakini bado sijawahi kumuongelesha,lakini nimetafuta jina lake kwa shida sana,nimekuja kulipata leo wakati wa mtihani chuoni. Hakika nashindwa kujizuia kutompenda huyu msichana lakini naanzeje wakuu? Maana hata jinsi tu ya kumsalimia naona shida kubwa na wakati ni mcheshi sana,na sio muongeaji sana.

Wakuu nipeni mbinu hata niweze kumsalimia tu au niunde urafiki naye tu,maana huwa nakumbuka navyocheka,anavyotembea na anavyoongea na huwa nikikumbuka hayo huwa najikuta naacheka peke yangu kama chizi vile,sikuwahi kufikiria kuwa kupenda kunakuwa hivi ila na ujanja wangu wote nimependa kwa mara ya kwanza ila nashindwa kufanya chochote!
Msaada kwa wazoefu wa haya mambo wakubwa

Wee ni msukuma? Acha uboya dogo..!! Wee bado kivulana..
 
Hivi unashindwaje kutongoza manzi hebu changamka jombaa acha udomo zege.
Halafu hizi mambo ungeanza toka primary or secondary small case kama hiyo isingekupa tabu maana ungekua na uzoefu wa hali ya juu
 
Easy.
Fuata hatua zifuatazo
1. Muombe hela
2. Mshike manyonyo mbele za watu
3. Msingizie kajamba class
4. Mkitoka class mshike tako
5. Muombe namba, akikunyima mkate mtama.

Hua sipendi mada za kijinga mimi.
 
Watu mmewahi kuuliza chuo chake! Mlivyo sikia Muhimbil mkawa wa pole, sipati picha angesema yupo chuo cha Kkoo
 
Wakuu habari yenu, mimi ni kijana wa miaka 21 kwa sasa na nipo chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tanzania.Toka nipo shuleni nimekuwa nikiweza kujiweka mbali na wanawake kwa ujumla kwani niliamini huwezi kuwa na mpenzi shuleni na ukafaulu kwa viwango vya juu kwa upande wangu lakini namshukuru Mungu kwa ujumla kwani nilifanikiwa kwa kiwango cha asilimia mia kutokua na uhusiano wowote kabisa.

Sasa tatizo linakuja muda huu nipo chuoni napata wakati mgumu sana hata kuongea na msichana tu,nimekuwa kama mgonjwa hivi nikiwakimbia sana hata group discussion zangu nimetafuta zisizo na mwanamke hata mmoja ndipo najihisi salama kabisa.

Sasa kwa bahati mbaya kuna msichana mmoja nashindwa kumtoa akilini kabisa,nilivyomuona siku ya kwanza,mwili wangu ulitetemeka kwa sekunde chache na kama utani akaja kukaa siti ya mbele yangu,hakika nilipata shida sana kwenye kipindi kile kwani niliishia kumuangalia tu muda wote na huku nikijihisi naumwa tumbo na nilikuwa na hofu hivi na moyo ulikuwa ukienda mbiokipindi kilivyoisha alitoka njee,ndipo nilipoweza kujirudi katika hali ya kawaida.Sasa mpaka leo hii nakuwa nashindwa kuwa normal ninaopokuwa karibu naye,either nitaumwa tumbo au moyo kwa uwoga,na kitu cha ajabu naweza nikajipanga kumsalimia ila nikikutana nae nashindwa kumwambia hata mambo tu.

Mpaka muda huu tunafunga chuo kwa likizo fupi lakini bado sijawahi kumuongelesha,lakini nimetafuta jina lake kwa shida sana,nimekuja kulipata leo wakati wa mtihani chuoni. Hakika nashindwa kujizuia kutompenda huyu msichana lakini naanzeje wakuu? Maana hata jinsi tu ya kumsalimia naona shida kubwa na wakati ni mcheshi sana,na sio muongeaji sana.

Wakuu nipeni mbinu hata niweze kumsalimia tu au niunde urafiki naye tu,maana huwa nakumbuka navyocheka,anavyotembea na anavyoongea na huwa nikikumbuka hayo huwa najikuta naacheka peke yangu kama chizi vile,sikuwahi kufikiria kuwa kupenda kunakuwa hivi ila na ujanja wangu wote nimependa kwa mara ya kwanza ila nashindwa kufanya chochote!
Msaada kwa wazoefu wa haya mambo wakubwa
Chukua number yake halafu mtumie milion moja ....acha kulalamika
 
Back
Top Bottom