Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,736
- 5,142
Mambo ya LAFS hayo
Itabidi waongeze somo la kutongoza kwenye prospectus zetu kuwasaidia hawa ambao wameachwa nyuma kiasi hiki.Daaah wasomi wetu hawa
😂😂😂 Umeona eeeh!Afu inabidi JF liongezwe jukwaa la watoto ili wawe wanacheza huko
Nipe namba yake kwanzaWakuu habari yenu, mimi ni kijana wa miaka 21 kwa sasa na nipo chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tanzania.Toka nipo shuleni nimekuwa nikiweza kujiweka mbali na wanawake kwa ujumla kwani niliamini huwezi kuwa na mpenzi shuleni na ukafaulu kwa viwango vya juu kwa upande wangu lakini namshukuru Mungu kwa ujumla kwani nilifanikiwa kwa kiwango cha asilimia mia kutokua na uhusiano wowote kabisa.
Sasa tatizo linakuja muda huu nipo chuoni napata wakati mgumu sana hata kuongea na msichana tu,nimekuwa kama mgonjwa hivi nikiwakimbia sana hata group discussion zangu nimetafuta zisizo na mwanamke hata mmoja ndipo najihisi salama kabisa.
Sasa kwa bahati mbaya kuna msichana mmoja nashindwa kumtoa akilini kabisa,nilivyomuona siku ya kwanza,mwili wangu ulitetemeka kwa sekunde chache na kama utani akaja kukaa siti ya mbele yangu,hakika nilipata shida sana kwenye kipindi kile kwani niliishia kumuangalia tu muda wote na huku nikijihisi naumwa tumbo na nilikuwa na hofu hivi na moyo ulikuwa ukienda mbiokipindi kilivyoisha alitoka njee,ndipo nilipoweza kujirudi katika hali ya kawaida.Sasa mpaka leo hii nakuwa nashindwa kuwa normal ninaopokuwa karibu naye,either nitaumwa tumbo au moyo kwa uwoga,na kitu cha ajabu naweza nikajipanga kumsalimia ila nikikutana nae nashindwa kumwambia hata mambo tu.
Mpaka muda huu tunafunga chuo kwa likizo fupi lakini bado sijawahi kumuongelesha,lakini nimetafuta jina lake kwa shida sana,nimekuja kulipata leo wakati wa mtihani chuoni. Hakika nashindwa kujizuia kutompenda huyu msichana lakini naanzeje wakuu? Maana hata jinsi tu ya kumsalimia naona shida kubwa na wakati ni mcheshi sana,na sio muongeaji sana.
Wakuu nipeni mbinu hata niweze kumsalimia tu au niunde urafiki naye tu,maana huwa nakumbuka navyocheka,anavyotembea na anavyoongea na huwa nikikumbuka hayo huwa najikuta naacheka peke yangu kama chizi vile,sikuwahi kufikiria kuwa kupenda kunakuwa hivi ila na ujanja wangu wote nimependa kwa mara ya kwanza ila nashindwa kufanya chochote!
Msaada kwa wazoefu wa haya mambo wakubwa
nasoma muhimbili kaka
nasoma muhimbili kaka
Hahahah! Acheze afanane kama huyo kwenye avatar yaakoAfu inabidi JF liongezwe jukwaa la watoto ili wawe wanacheza huko


Sasa demu wa nini n wakati we unaonekana kabisa ni katibu muenezi wa chama pendwa cha chaputa
Kweli kabisaaMdogo wangu wewe ki politiksi tunawaita DomoZeGe, japo unatumia kivuli cha kupenda
Kwa umri wako 21 bado sana hayo mambo, kaa tulia piGa shule then mapenzi yatakuja yenyewe, huku juu ukimaliza chuo utapenda wengi zaidi huyo so "Acha kushoboka na hzo kabichi za mpito".
Ukiwa nae huyo hutaweza kuji control vile unampenda sana, hayo wanaweza wale wa chapa ilale, wewe utaishia tu kuhonga boom, kufeli na kale kaugonjwa hatari
Unakuta huyu ni mtoto wa kada wa Chama Cha Manyampara baada ya miaka mitatu anapewa ukuu wa mkoa au hata urais unategemea nini hapo.!Daaah wasomi wetu hawa
CHAPUTA UNIVERSITYChuo gani unasoma?
Acha kumdanganya kijana mbona mimi nimeanza kuonja mbunye tangu nikiwa chekechea?Mdogo wangu wewe ki politiksi tunawaita DomoZeGe, japo unatumia kivuli cha kupenda
Kwa umri wako 21 bado sana hayo mambo, kaa tulia piGa shule then mapenzi yatakuja yenyewe, huku juu ukimaliza chuo utapenda wengi zaidi huyo so "Acha kushoboka na hzo kabichi za mpito".
Ukiwa nae huyo hutaweza kuji control vile unampenda sana, hayo wanaweza wale wa chapa ilale, wewe utaishia tu kuhonga boom, kufeli na kale kaugonjwa hatari
Tafuta Picha yake uwe unaingia nayo bafuni unapiga mkunyeto huku ukiangalia Picha yake fanya mara tatu kwa siku ndani ya week moja utajiskia kumchoka kabisa.!asante sana mkuu lakini sasa nawezaje kumuondoa akilini maana ameniganda sana
Mbinu mujarabu hii.Dawa yake kumpigia nyeto tu chooni yaan ukifika unamvutia hisia mpaka wazungu wanakuja
Ni kijana wa DarWe jamaa boyaa sanaa..!!![]()
Alifaulu ila hakupata ajila sasa yuko kijijini kwao Mwangiliginyi analima mihogo.Habar za hapo BOT, tufanyie mpango thamani ya hela yetu iwe sawa na ukuaji wa uchumi