Kwa hiyo kina kaka haturuhusiwi
Yani msg Ana jibu kwaa mariingo sometimes Ana soma alafu Ana kausha nampiga mistali wiki ya pili hii.. Alafu sasa ni mzuri kweli yani nime muuliza Kama Ana boyfriend ataki kunipa jibu ... Yan ata simuelewi.. Wakina dada ebu nisaidien kimawazo
Ivi we unajua kusoma kweli
nYIE WATOTO BANA ! MAMBO YENU YA FACEBUKU WATU WAZIMA TUTAYAWEZEA WAPI ....RUDI HUKO MLIKOKUTANA WATAWASULUHISHI!
Xaxa kakaangu kama unaona anakusumbua kwann usitafte faraja yako huyo si wako angekuwa wako wala Asingekutesa kihivyo hata kama anatikisa kiberti ndo hivo mtu mwenye mapenz ya dhati huwa ni nilijali pole xana