kuna dada alinitext kwenye fb kua anaomba email yangu tuwasiliane anamatatizo,yeye ni mkimbizi toka sudan ila yupo kambi yawakimbizi senegal,anasema yeye alikua mtoto wa waziri sudan kabla baba yake hajauwawa,anahitaji msaada wangu.kanitumia picha zake kwenye email,nimzuri mbaya cheki picha zake hapa chini.anataka nimsaidie kupata hela zake £5.7ml na akizipata atakuja tz nakua mkewngu!msaada jamani nisije ingia chakike...