Msaada wa kimawazo nahitaji"29-10-2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kimawazo nahitaji"29-10-2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GITU, Oct 29, 2010.

 1. GITU

  GITU Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi, yeah kama kichwa cha ujumbe kinavyosema, nahitaji msaada wa kimawazo. mimi nikijana tu wa kawaida niko kidato cha pili katika sekondari ya kata ya nyarugusu wilayani/mkoani geita. nimekuwa nikitembelea tovuti mbalimbali kuchati kubadirishana mawazo na watu mbalimbali, kupitia forum za tovuti tofauti lakini tatizo kubwa nimekuwa nikitumiwa messages kupitia email adress yangu, ya gitumabula@yahoo.Com.Da dada mmoja anayejiita miss qeen stella kassala, kuwa yeye ni mkimbizi kutoka sudan baada ya wazazi wake kufa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe. Yeye aliokotwa na jeshi la UN la umoja wa mataifa na kupelekwa katika misheni ya huko mjini senegal darka,alikuwa anahitaji heti mimi niwe urgent wake, wakati baba yake yuko hai aliacha kiasi cha pesa benki kiasi kwa yeye kama mkimbizi hana haki ya kumiliki, pesa nyingi huko senegal na kwamba hana hata,wasaa wa kutoka nje ya misheni hiyo,na kwamba hakuna mtu anayejua siri kwamba baba yake alipost kiasi cha dolla$475000. hakuna mwingine isipokuwa reverend john issack anayeishinaye pale pia akasema hana mahusiano yoyote na huyo reverend.pia akanipa mawasiliano ya number ya simu kuwa nikiwa nataka mazungumzo niwasiliane nae"haikuwa rahisi mimi kumpigia,baadaye akaniambia nifanye mawasiliono na wakala yeyote wa benk ili niweze kupata taratibu za kupokea pesa lakini sukajari hayo sikwenda popote nikabaki natafakari! huyu siyo mtandao wa matapeli ikabidi nichukue jina lake na kulisearch nikaanza kuona tarifa zake, kwenye google. usemi aliokuwa akinitumia ulifanana na ule wa kwangu akanitumia na picha zake kupitia email yangu,nami nikamtumia zangu baada ya hayo akaniomba account number ya benk nikampa ambayo mara nyingi inakuwa ni ya rafiki yangu, ambayo hutumiwa pesa tu pale anapohitaji! nikampatia baadaye tena nikatafakari nikamwambia wewe ni tapeli baada ya kumpa account namba akanijibu akanipa adress ya benk yake lakini sikufuatilia nikawa namutumia meseji mara kwa mara nikimwambia ni tapeli akawa anatumatuma meseji akionesha akicheka akandika kwamba"wise man sikumfuatilia tena,nakaendele na mambo yangu ya skonga cha ajabu tena imekuja meseji kama ya huyo mdada anadai anahitaji msaada wangu eti ana US dolla $6000000 anadai kuwa yuko senegal anahita niwe URGENT wake eti nifanye mpango nimpe address yangu aandike barua ili kusudi hatua zitumike nami pia pesa zinifikie huku zikifika niandae tena mpango wa kumfuata yeye ili tuje tufanye bizness au tena baadhi ya pesa kufanya apete tiketi ya ndege na chet cha utambulisho yeye ni kama refugee sasa mimi nimeamua kuwa niachane nae kumsikiliza au nifanye nini maana naona ni kama tapeli na nimemwandikia kwa kingeleza kuwa aachane na mimi anisikii anazidi kuniomba niwe asistance wake anadai yuko really! je' what can i do? namba zangu ni+255759129020 huyo dada ni mwingine tofauti na mwanzo!
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Panga vizuri maandishi yako bwana kusoma ni kazi kweli tabu tupu mpaka macho yanauma!
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Huyo dada ni tapeli, achana naye... hata humu ndani ya JF wapo walio pata email zake mimi nikiwa mmoja wapo. Pole sana kwa usumbufu.
   
 4. L

  Left Wing Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hao ni Matapeli wa Kinaija usiwasikilize
   
 5. A

  Abraham Lincon Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana mdogo wangu. Kama alivyokwambia wa kwanza kwamba wewe ni wise nami nakwambia vivyo hivyo. Ulitumia akili sana kutafuta ukweli kupitia 'google'. Kusema ukweli, mtu huyo ni tapeli na wapo wengi. Wengi wa matapeli hao hutoka Nigeria na katu si wanawake kama wanavyodai. Nakushauri ukazane kusoma na tumia internet pale tu unapotafuta material kwa ajili ya kujisomea. Pole sana.
   
 6. F

  FM JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Achana na matapeli hao, kaza buti kwenye masomo mdogo wangu utatoka tu!
   
 7. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  heheheh pole dogo
   
 8. GITU

  GITU Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumia mlenda au mboga za majani acha kula nyama ya kitimoto pengine ukaanza kuona vizuri!
   
 9. GITU

  GITU Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante! Kaka shukrani
   
 10. GITU

  GITU Member

  #10
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana kaka kwa ushauri wako mzuri
   
 11. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  GITU

  ungeanza na kujifunza namna ya kuwasilisha mawazo yako kwenye maandishi.

  Mafunzo ya kanuni za uandishi yanapatikana kwa wingi kwenye mtandao wa intaneti, anzia hapo.
   
Loading...