huyu mrembo nikweli nitampata?

huyu mrembo nikweli nitampata?

kuna dada alinitext kwenye fb kua anaomba email yangu tuwasiliane anamatatizo,yeye ni mkimbizi toka sudan ila yupo kambi yawakimbizi senegal,anasema yeye alikua mtoto wa waziri sudan kabla baba yake hajauwawa,anahitaji msaada wangu.kanitumia picha zake kwenye email,nimzuri mbaya cheki picha zake hapa chini.anataka nimsaidie kupata hela zake £5.7ml na akizipata atakuja tz nakua mkewngu!msaada jamani nisije ingia chakike...

Mkuu...inamana hao wezi wa mitandaoni uwajui??utalizwa muda si mrefu
 
kuna dada alinitext kwenye fb kua anaomba email yangu tuwasiliane anamatatizo,yeye ni mkimbizi toka sudan ila yupo kambi yawakimbizi senegal,anasema yeye alikua mtoto wa waziri sudan kabla baba yake hajauwawa,anahitaji msaada wangu.kanitumia picha zake kwenye email,nimzuri mbaya cheki picha zake hapa chini.anataka nimsaidie kupata hela zake £5.7ml na akizipata atakuja tz nakua mkewngu!msaada jamani nisije ingia chakike...
Asee hao ni matapeli ni wanaume, alafu wanatumia picha za mrembo mzuri ili utume details zako, then wanakutapeli sasa iv mtu akipata account number yako tu, umekwisha asee..
 
Nipe email yako nikuforwadie historia inayofanana kabisa na yako uamini kweli ni matapeli kuna mshikaji wangu alifanyiwa kama ww ila yeye alitapeliwa alipotuma hela za VAT ILI ATUMIWE PESA.
 
Huyo dada katuma msg hiyo kwa watu wengi fb akidai kwamba nimkimbizi toka sudan,nyoooka naye usisahau kutujuza.
 
kuna dada alinitext kwenye fb kua anaomba email yangu tuwasiliane anamatatizo,yeye ni mkimbizi toka sudan ila yupo kambi yawakimbizi senegal,anasema yeye alikua mtoto wa waziri sudan kabla baba yake hajauwawa,anahitaji msaada wangu.kanitumia picha zake kwenye email,nimzuri mbaya cheki picha zake hapa chini.anataka nimsaidie kupata hela zake £5.7ml na akizipata atakuja tz nakua mkewngu!msaada jamani nisije ingia chakike...
muongo huyo mimi mwenyewe nimetumiwa email na picha stori hiyohiyo kama yako nikamtukana
 
Hahagagah wezi hao alaf gia yao moja kila leo.kimbia sana.
 
Tapeli hao wanaume hao hata mi nishatumiwa sema nilijiuliza logical question mwisho wa siku nikawasitukia.
 
mkuu huyo ni tapeli na hakuna lolote hapo maana nna jamaa yangu aliwahi kutumiwa hivyohivyo.Hao ni hackers
 
kuna dada alinitext kwenye fb kua anaomba email yangu tuwasiliane anamatatizo,yeye ni mkimbizi toka sudan ila yupo kambi yawakimbizi senegal,anasema yeye alikua mtoto wa waziri sudan kabla baba yake hajauwawa,anahitaji msaada wangu.kanitumia picha zake kwenye email,nimzuri mbaya cheki picha zake hapa chini.anataka nimsaidie kupata hela zake £5.7ml na akizipata atakuja tz nakua mkewngu!msaada jamani nisije ingia chakike...
kaka hapo kwenye bold unajua ni shilingi ngapi za kitanzania? hata kama ni kuhonga picha ni mtanzania gani anaweza hiyo mbesa?
 
Hata mimi nilitumiwa kama hiyo. Hao ni matapeli kijana
 
Wezi hao wala usihangaike nao, mimi niliishakumbana na huo mkasa mwaka 2008 thruogh my email tuliwasiliana kwa muda na kuitana majina matamu matamu lakini nikaja kushindwa kwenye kumtumia hela huko senegal na ndipo nikagundua kua ni wezi na baada ya hapo napokea email na message nyingi sana ila sihangaiki nao. Achana nae.

asante sana kwaushauri wako,niliattach napicha zake2,ukiziona unaingia king alivyo mrembo we acha!sijui kwann attachments zangu hazipo!
 
Hakuna Kambi ya wakimbizi ktk nchi ya senegal.Me nlishawahi kukutana na email ya aina hiyo ikanibidi nifuatilie kwenye neti kama kuna kambi ya wakimbizi Senegal sikupata. we mwambie mbona hakuna kambi ya wakimbizi ktkt nchi ya senegal hatakisumbua tena.Ni wezi tu hao
 
kuna dada alinitext kwenye fb kua anaomba email yangu tuwasiliane anamatatizo,yeye ni mkimbizi toka sudan ila yupo kambi yawakimbizi senegal,anasema yeye alikua mtoto wa waziri sudan kabla baba yake hajauwawa,anahitaji msaada wangu.kanitumia picha zake kwenye email,nimzuri mbaya cheki picha zake hapa chini.anataka nimsaidie kupata hela zake £5.7ml na akizipata atakuja tz nakua mkewngu!msaada jamani nisije ingia chakike...
Google hichi kitu "419"....!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom