huyu mrembo nikweli nitampata?

huyu mrembo nikweli nitampata?

achana nae tapeli huyo mimi mwenyewe nimepokea text za namna hiyo kama tano na zote zinafanana
 
mi wamenitext wa aina hyo watatu,sina mda nao hvo cjajibu hata mmoja.
 
kuna dada alinitext kwenye fb kua anaomba email yangu tuwasiliane anamatatizo,yeye ni mkimbizi toka sudan ila yupo kambi yawakimbizi senegal,anasema yeye alikua mtoto wa waziri sudan kabla baba yake hajauwawa,anahitaji msaada wangu.kanitumia picha zake kwenye email,nimzuri mbaya cheki picha zake hapa chini.anataka nimsaidie kupata hela zake £5.7ml na akizipata atakuja tz nakua mkewngu!msaada jamani nisije ingia chakike...
Una uhakika gani kama ni picha zake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom