Huyu Mpoki vipi jamani?


KWA TAARIFA ULIBOREKA WEWE PEKE YAKO NA BWNA WAKO WAKATI MUNAANGALIA LUNINGA. Mngekuja ukumbini mngeona jinsi watu walivyofurahi ila mabishooo ndio walizinguliwa LIVE BILA CHENGA.. napenda next huyu mpoki awepo na JOTI itanoga zaid
 
Hiyo ndio inawajenga ku-handle critics za fani wao uzuri jamaa alizotoa ki-comedy comedy
 
Nilishamtumia ujumbe kwamba,maneno yake yatakuja kumgarimu one day awe makini sana
 
alikua anachangamsha lakini vingine alivyokua anasema sio kabisa
 
we nae rwegoshora nn..

sasa ww mrembo baby ake kama hukuepo ukumbini piga kimya,utani wake ni wa ukweli halafu unauma sana kwa mtu ambae si mlengwa unachekelea unaona burudani hujaona timu ya meneja wa wema ilivyomchukulia ujue mtu kujizuia imemuuma,halaf ishtoshe dada angu hapa mjini hapa ujue hilo.
 
Last edited by a moderator:

Ofcourse that was too much aisee. Alikuwa anagusa mno personality za watu.
 
acha mpoki aitwe mpoki the guy made my day......xo funny yani mbavu zangu ziliwekwa rehani.....eti hao walimbwende uliowaona pembeni ya isha mashauzi wakiamka asubuhi lazima uwape shikamoo...
 
Hivi kama mc angekuwa yule dada peke yake na mpoki asingekuwepo pangekuwa vizuri kweli,
 
Halafu ingependeza zaidi ungeandika " kwa hiyo unayo haki ya kuzuia wengine kutoa mawazo yao " hayo mengine sijui AIR THEIR VIEWS waachie mwenyewe kina ngoswe .ni mtazamo tu usinitoe roho

Ila kaeleweka...
 
nihadithieni ilikuaje jaman huku hakuna umeme wala sola mweh nmekosa utamuuu!!
 

ukweli unauma etieee.... Mpoki amefanya shoo imekuwa fupi kwa utam wake.. Next aendelee huyohuyo mr mpoki pia awe na joti itanoga
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…