Mimi sio siri nilifurahia sana uwepo wa Mpoki nilijua nitacheka tu na kweli hakuniangusha,mimi kosa nililoliona alifanya ni moja tu ile ishu ya HIV,haitakiwi kabisa kufanya utani kwenye hii kitu coz ukifanya hivyo hakika unawaumiza wengi,hapo naamini aliteleza tu na hatorudia tena.Kwingine kote alikuwa poa,yule ni mtu wa comedy so alichokifanya ndicho nilichotarajia,mi huwa naangalia sana BET so sishangai hilo,kinachowafanya watu mmind labda ni utani wake kushabihiana na ukweli.Eti mtu unamind Mchomvu kuambiwa mrefu kama mkojo nini cha ajabu hapo?Mchomvu mwenyewe ndio bingwa wa kuropoka redioni na utani kwa sana,ntashangaa kama atamind kuambiwa hivyo