Huyu Mpenzi Ananitumia?

Huyu Mpenzi Ananitumia?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
Yaan mpaka namkumbuka mpenz wangu wa zamani, kwa vitimbi vya huyu wa sasa!

Ni Mwaka Na Nusu Sasa Tangu Huyu Demu Anitongoze,Nakumbuka Wakati Huo Nilikuwa Zangu nangoja msururu wa watu kwenye ATM, sasa Yeye akawa mbele, Akawa Anajigusisha Makusudi Wowowo Lake Kwenye Dushelele Langu, Mpaka Mdudu Akavimba!
Kuona ari mbaya nikaamua kuchomolea shati langu nililochomekea ili nisiadhilike, Nashukuru tukamaliza Salama.
Ila Wakati Wa Kuondoka Akaniomba Lift, Sijui Nini Nikajikuta Nimempa Mpaka Namba Yangu Ya Simu(Akautumia Mwanya Huo Kunidanganya Na Kunitongoza)!

Baasi Toka Siku Hiyo Amekuwa Mtu Wa Kunihadaa Tu, Nikimuudhi Kidogo, Anasema Mwanamke Anabembelezwa Kwa Vocha Na Hela Ya Saluni!
Nimechoka kwa Manyanyaso, Maana Hata Mzigo Wenyewe Hanipi, Eti Yeye bado Bikra!

Jamani Si Ananitumia kwa maslahi yake binafsi huyu?
 
.....Imekula kwako Mkuu!!! Kimbia haraka kabla hujafilisiwa...Chezeya changu doa anayeingia kwa gia kubwa, "Mimi bikra."

Haha anapanda kilima na rivasi chezea yeye.... BAK ila hapo hujamtendea haki hakuna lisongi linaloendana na situation yake??!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
...hahahahahah lol! umenichekesha sana Mentor....lisongi lipo ila nikiliweka hapa naweza kuchezeya ban mpaka 2015 lol!...Eti mie bikra!!! kumbe kuna njemba zinakula uroda kwa raha zao!!!!

Haha anapanda kilima na rivasi chezea yeye.... BAK ila hapo hujamtendea haki hakuna lisongi linaloendana na situation yake??!
 
Soma hilo jina la ID yako, baada ya hapo jipige pige kichwa chako halafu jiambie "Mimi sio zezeta tenaaaa".

Dah! Mkuu Umenikumbusha kitu cha maana sana!
 
.....Imekula kwako Mkuu!!! Kimbia haraka kabla hujafilisiwa...Chezeya changu doa anayeingia kwa gia kubwa, "Mimi bikra."

Ila kweli mkuu inaweza ikawa gelesha!
Lakin mbona titi zimemsimama?
 
....uliziona na macho yako kama zimesimama au alikuchezea mazingaombwe/kiini macho ukaona zimesimama?

hahahaha, chezeiya wonderbra huyu eeh? Kitu kama ndo kinaota, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
....uliziona na macho yako kama zimesimama au alikuchezea mazingaombwe/kiini macho ukaona zimesimama?

Akivaa nguo Zinaonekana Mtutumuko Wake!
 
...hahahahahah lol! umenichekesha sana Mentor....lisongi lipo ila nikiliweka hapa naweza kuchezeya ban mpaka 2015 lol!...Eti mie bikra!!! kumbe kuna njemba zinakula uroda kwa raha zao!!!!

Mpe songi la plies - becky.
Ye demu hataki kufa ila pepo anaipenda..

Alafu nani alimwambia anaweza kujua kwa kuangalia tu..??! Dah kuna wanaume mazezeta kweli.

Ivi iyo siku ulidraw sh ngapi??!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
naam kaka, mapenzi ni kuthaminiana sio kutesana

jamani kwani kwenye ubikra hakuna kuthaminiana, ina maana thamani ya mwanamke ni mpaka akupe hiyo ikotoayo utu jamani,kama ndio hivyo bikra hatakiwi kua in love relationship maana, hivi kwa nini hela za wanaume kwa mwanamke ni kama deni hadi alipe.
 
Iweje umpe lift mtu usiyemfaham tena wkt umetoka kutoa hela? Je ngekua ana njama za kukuibia c angekumaliza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom