Huyu Mpenzi Ananitumia?

Huyu Mpenzi Ananitumia?

Wewe unakutana na demu maeneo ya atm, tena anakucheck unavyochomoa wekundu wekundu unategemea nini?
Wewe kwa sasa ni ATM yake ndogo, umeshalikubali hilo ......hivyo usije kutulalamikia.

Kama jana alidai leo nimtoe out nikasema "sitaki nimechoka"
Nashangaa leo kanizimia cm!
 
Pale binti anaposema sifanyi kwa sababu mi ni bikra ndipo ninapokataa mimi!!!! Hapo tu.

Hata mimi nilikataa lakini yeye ananilazimisha niitunze...eti itanipa heshima ndoani!
 
sasa we unataka akuambie sababu gan,i ye anajua nini maana ya bikra na anajua inapaswa itolewe wakati gani...
shime mabikra tuamke tuendeleze msimamo wetu ingawa challenge ni nyingi


Kwani nawe unayo?
 
nan kakuambia titi kusimama ndo hapigwi au ndo bikra?mkuu wewe mgeni nin kwa issue za wanawake?naona wanakukuza mtoto wa mwenzao!!zinduka mkuu, piga piga kichwa chako na useme mie sio Zezeta tenaaaaa!!

Kwani we hujui kuwa titi saa 6 ndo mpango wa Town?
 
Thamani kwa mwanamke haijalishi yu bikra au lah, wote wanastahili.
Ila namna ya mbinu huyo dada aliyotumia kumteka ZEZETA hainishawishi kabisa kuamini yu bikra, pili mwanamke anayependa kuomba omba hela mara nyingi huwa hatulii kwa mwanaume mmoja maana kwake pesa kwanza mengine baadaye...

Hata huyu nazani ni mmoja wao, Maana ananinyanyasa sana!
 
pole sana me naona uwahi gari mapema kabla ujaachwa maana waweza kuvuliwa nguo zote na majangili katika huo msitu huo mnene ukaja kuadhirika bure ni bora kukimbia mapema kuwahi usafiri hata wa baskeli

Itabidi nijikaze kiume Ili Nimwambie!
 
Achana na hiyo paper loving wewe,huyo mdada itakuwa ndo mchezo wake,ogopa sana mdada mlokutana bank au kwenye hoteli kubwa,ni wawindaji hao,kakaangu aliwahi honga mkopo wake wote alokopa kwenye bank fulani hadi saa hizi anajuta.

Hata mimi nimeanza kustuka!
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mbavu zangu eti zezeta la Town unalalamika nn wakati wewe zezeta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom