Pale binti anaposema sifanyi kwa sababu mi ni bikra ndipo ninapokataa mimi!!!! Hapo tu.
Ila kweli mkuu inaweza ikawa gelesha!
Lakin mbona titi zimemsimama?
jamani kwani kwenye ubikra hakuna kuthaminiana, ina maana thamani ya mwanamke ni mpaka akupe hiyo ikotoayo utu jamani,kama ndio hivyo bikra hatakiwi kua in love relationship maana, hivi kwa nini hela za wanaume kwa mwanamke ni kama deni hadi alipe.
pole sana me naona uwahi gari mapema kabla ujaachwa maana waweza kuvuliwa nguo zote na majangili katika huo msitu huo mnene ukaja kuadhirika bure ni bora kukimbia mapema kuwahi usafiri hata wa baskeliYaan mpaka namkumbuka mpenz wangu wa zamani, kwa vitimbi vya huyu wa sasa!
Ni Mwaka Na Nusu Sasa Tangu Huyu Demu Anitongoze,Nakumbuka Wakati Huo Nilikuwa Zangu nangoja msururu wa watu kwenye ATM, sasa Yeye akawa mbele, Akawa Anajigusisha Makusudi Wowowo Lake Kwenye Dushelele Langu, Mpaka Mdudu Akavimba!
Kuona ari mbaya nikaamua kuchomolea shati langu nililochomekea ili nisiadhilike, Nashukuru tukamaliza Salama.
Ila Wakati Wa Kuondoka Akaniomba Lift, Sijui Nini Nikajikuta Nimempa Mpaka Namba Yangu Ya Simu(Akautumia Mwanya Huo Kunidanganya Na Kunitongoza)!
Baasi Toka Siku Hiyo Amekuwa Mtu Wa Kunihadaa Tu, Nikimuudhi Kidogo, Anasema Mwanamke Anabembelezwa Kwa Vocha Na Hela Ya Saluni!
Nimechoka kwa Manyanyaso, Maana Hata Mzigo Wenyewe Hanipi, Eti Yeye bado Bikra!
Jamani Si Ananitumia kwa maslahi yake binafsi huyu?
Thamani kwa mwanamke haijalishi yu bikra au lah, wote wanastahili.
Ila namna ya mbinu huyo dada aliyotumia kumteka ZEZETA hainishawishi kabisa kuamini yu bikra, pili mwanamke anayependa kuomba omba hela mara nyingi huwa hatulii kwa mwanaume mmoja maana kwake pesa kwanza mengine baadaye...
jamani kwani kwenye ubikra hakuna kuthaminiana, ina maana thamani ya mwanamke ni mpaka akupe hiyo ikotoayo utu jamani,kama ndio hivyo bikra hatakiwi kua in love relationship maana, hivi kwa nini hela za wanaume kwa mwanamke ni kama deni hadi alipe.