Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
hahaaaa huyo aliyekupa ruhusa ya kwenda kupiga simu ASHUKURIWE lol.......
maumbea kibao yalikuwepo humu.nikawa natamanije uwepo wako umbea shurti uwe na mmbea mwenzio........
Mrembo by Nature shosti angu sijui kapotelea wapi
Hapo nakuona unamtafuta mtani, kwani kunani?
kashakuja! nimemwona.. ndiyo namalizia hamu ya kumwangalia hapa...
kashakuja! nimemwona.. ndiyo namalizia hamu ya kumwangalia hapa...
nilikumis wewe!! hadi wife wangu anajua...
Nilifungiwa huko milima ya upare hapa niliachiwa tu kuja kupiga simu mjini.
umekuja mjini kupiga simu na kununua vocha, maana nasikia huko milimani vocha ya 1000 mnauziwa 5000 halafu ni adimu kweli.
Btw nimekumiss mrembo!!!!!!
unawaza pesa! mpaka basi...mimi wakunipa akaunti?