wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 288
Pole sana sasa wahitaji tukushauri coz yeye anakupenda na ww unampenda ila unaogopa ndoa yako kuteteleka so lipi usaidiwe? Kama vp mpe namba yangu mm sjaoa.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kwani ukimlamba mara moja utakosa nini?
ounguza utoto aisee
Acha uchoyo bana mbona kazi unamsaidia iweje dushelele unamnyima? Sio vizuri mpe dozi.
uoga ndio akili yenyewe asikudanganye mtu!!use ua common sense on this mwambie wazi hutaki na hupendi mambo hayo atika mazingira ya kazi yako ,mwambie uwazi na ukweli heshima irudi!!the Boss,ninaweza kuwa mtoto katika hili na nikafanya maamuzi ya aina yoyote ile,pengine nikamlamba hiyo mara moja unayodai BUT just imagine,kaishawataka wangapi kwa njia hiyo?keep in mind bro,my stupidity,my grave!!!!
upgrade me now nitakuzalia a royal baby lol!Nilitaka nijue humu nani 'ananipenda'
kumbe ni wewe kidunu changu?
itabidi niku upgrade now lol
hujambo?
upgrade me now nitakuzalia a royal baby lol!
wewe ni mweupe au maji ya kunde nsije unguza genes zangu!!Nna hamu kweli unizalie
hujui tu
Yaani wewe mtu mzima huna maamuzi? Huhitaji kupewa ushauri. Wewe umeoa na unafungana na mke wako. Aise matatizo mengine katika ndoa mnajisababishia wenyewe. Ningekuwa mimi Nampa kavu live mbele za watu na atakoma tu. Hata kama mnahisiana katika line of responsibilities kazini lakin ikitokea issue ya kazi mnafanya objectively. Mpe live kuwa umeoa na unaheshimu ndoa yako na si kulialia hapa.
mkuu TIQO,ikitokea bahati nzuri nikaanza kuharisha,kutapika,kukohoa na kuishi kwa dozi,mke wangu na mwanangu watakuwa katika hali gani?
Kwani ukimlamba mara moja utakosa nini?
ounguza utoto aisee
wewe ni mweupe au maji ya kunde nsije unguza genes zangu!!