Huyu mke wangu tatizo

Sikiliza wewe
Unaweza kunipa namba zake nimtoe hapo ugwadu ukuishe mkuu
 
Nimeoa boss
ungekuwa umeoa asingekufanyia huo udimbwi hakika, umeolewa...!!..wote hamkuwa tayari....ndoa na iheshimiwe na watu wote....hata wasio na ndoa lazima waheshimu ndoa za watu......na siku wakimkuwadia utanielewa...pumafu wewe..
 
Hebu niuulize we ndo unalpa kodi?
Japo sidhan kama we ndo mlipa kodi a man can't be stupid to this level sio bure utakua huna kazi unamtegemea uyo mkeo 100% uza smartphone unayotumia katafute chumba Cha 10000 tafuta mkeka lala anza na upya maisha like a man
 
Ningefurahi kama ningekuwa na mke asiye na wivu kama huyo. Siku utakapomla rafiki yake mmoja ndipo atapata akili
 
Kula tu hao mashemeji, kakusogezea mwenyewe, kizuri kula na nduguyo
 
Nitaendelea kusema hivi"Neno ndoa limepoteza maana yake halisi"
 
Uwa namuambia ata kwa mafumbo wala anielewi
Kwa Nini uongee kwa mafumbo?unaelewa tofauti ya kuwa baba/mume na boyfriend?simama kwenyea nafasi yako toa maamuzi.
 
Mkuu ,,,nakushauri usilalamike hilo jambo,
Hiyo ni bahati ,,
Tena wala usitongoze,,
Usiku mkilala mnyatie umle huyo rafiki wa mkeo..
Tena unamla kimya kimya na mkeo yupo humo humo.
Siku akikufuma ndy mwisho wa marafiki kuja humo..
Yaani umeletewa nyama unaanza kelele..
Piga kimya kimya...
Tena siku asipowaleta ,,muulize mkeo mbona siku hizi hawaji?
Nimewamiss sana..haswa yule Hadija ni mtoto mzr sana,,mwite aje tena..
 
ungekuwa umeoa asingekufanyia huo udimbwi hakika, umeolewa...!!..wote hamkuwa tayari....ndoa na iheshimiwe na watu wote....hata wasio na ndoa lazima waheshimu ndoa za watu......na siku wakimkuwadia utanielewa...pumafu wewe..
Tena pumbafu kubwa sana
 
Amakweli tusio na bahati hatubahatiki...[emoji23][emoji23]
 
Anza naye huyo huyo aliyeletwa
Utakuja nikumbuka
 
Duu hata kama kwetu ni mafukara lakini si kwa umasikini wa akili huu,
naye angeleta ndugu zake humo sijui inakuwaje [emoji2][emoji2] kama club vile

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa ndugu yangu ningekuja hapo hapo kwako naanza na wewe nakupa vindoge vyote kisha mkeo akileta nyodo anakula kofi moja, namfuata huyo shemeji yako kama alizaliwa na binadamu au mbuzi , namfungasha siku hiyo hiyo, hana adabu kabisa huyo!
Madame unaonekana we ngumi mkononi[emoji16][emoji16]
 
Madame unaonekana we ngumi mkononi[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna unajua inaleta hasira sana eti nikute kaka yangu hivyo hapana huyo mgeni namnyanyua mchana mchana, kwetu hatuna ujinga wa hivyo

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Nmeshaoda dalili kwamba mmoja kati yenu ni msukuma,ndo tabia zao,yaaan utajaziwa wageni kila kukicha
 
"... Kuna matatizo makubwa kwa afya za akili kwa Watanzania wengi..."

Hospitali ya Taifa Muhimbili
 
Automatically mkeo ana mtu nje na anawatumia marafiki kama kizingiti cha kuzuia usumbufu. Utakuja kushtuka siku akikosea akabeba mimba nje.

Na kikubwa zaidi katika wanawake wapumbavu, mkeo ni no 1 halafu anafuatia wema sepetu.
 
Huyo mke wako alitaka ndoa ili apate cheti cha ndoa apeleke kazini kwa maslah yake tu.Ushauri ni kuibomoa ndoa yako kwa kumtafuna au watafuna hao marafikize.labda kama unamtegemea yeye kwa vile ana kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…