ekomu1
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 295
- 330
Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.
Miezi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .
Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala hana mpango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu hata hajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala haoni shida yeye yupo tu
Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu mpaka natamani nichepuke au nimle huyu shemeji akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawahi kazini ananiacha naye
Naombeni ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana.