Huyu mke wa mpangaji mwenzangu simuelewi

Huyu mke wa mpangaji mwenzangu simuelewi

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,936
Reaction score
30,051
Hapa ninapoishi kuna mke wa mpangaji mwenzangu nashindwa kabisa kumwelewa.

Mume wake ni mtu wa kurudi usiku sana kama saa nane na Mimi hua narudi kama saa sita sasa cha ajabu kila nikirudi ananifungulia huyo mwanamke kwa Tabasamu safi huku akiwa na kanga moja.

Mwanzo sikuona hii coincidence ya why yeye tu ndo awe ananifungulia mlango ila juzi nilivyotuliza akili ndo nimegundua kuna kitu anataka huyu.

Kwa mikato yake angekua hatukai nae nyumba moja ningemshughulikia lakini namuonea soo jamaa.

Nimelileta jukwaani sio kuomba ushauri bali kuwashirikisha tu mjue masaibu ninayokumbana nayo.
 
Kula tu mkuu
Tena kama ni kuku wakizungu mchinjaji ndio anatabu wee kula hadi mifupa
 
Mi kuna mmoja nimemla jana, alikuwa ana mikato kama ya huyo wako..... kama vp niPM namba zake nikusaidie.
 
Angalia mjini hapa watu wanachora rackets,unaweza kuta wamekubaliana wakutie kati wapate mtaji wa maisha,ikishindikana uliwe kiboga.
 
Shem akifungua tu mlango na kanga moko yake inatakiwa umuinamishe hapo hapo.....

Ndio maana nimempa wiki ili nihakikishe kama ni kweli anahitaji kitu cha msuli au, maana nikikosea na kumbe ni mcheshi tu itakula kwangu yaan ni kama kumtongoza shemeji vile
 
Ndio maana nimempa wiki ili nihakikishe kama ni kweli anahitaji kitu cha msuli au, maana nikikosea na kumbe ni mcheshi tu itakula kwangu yaan ni kama kumtongoza shemeji vile

Na kama anataka msoloboko usipompa atakuona nyuki wa canteen shem
 
Nakuona umechoka kuishi duniani, tafuta mahala pengne pa kwenda kufia. Usitake jamaa akaenda jela kwa sababu ya kukuua. Na siku zako za kuishi si nyingi, watakukata mapanga tu! na utapigwa tu!. Wanafunzi wa vyuo vikuu huwaoni si nenda huko ukapozee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom